-
Palestina katika njia ya umoja na mshikamano wa ndani
Oct 12, 2020 23:09Baada ya baadhi ya nchi za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na kulitelekeza waziwazi taifa la Palestina, sasa hivi makundi ya Palestina yameelewa kuwa njia pekee ya kulinda uwepo wa taifa lao ni umoja na mshikamano.
-
Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya Israel
May 29, 2020 23:48Spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu na jitihada za pamoja za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina wataka umoja wa kitaifa ili kukabiliana na mpango wa 'Muamala wa Karne'
Jul 07, 2019 07:10Viongozi wa harakati za mapambano ya Palestina wamesisitiza juu ya udharura wa kuweko umoja wa kitaifa huko Palestina ili kukabiliana na mpango uliojaa njama wa Muamala wa Karne.
-
Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lakutana Morocco
Jun 25, 2019 08:30Mkutano wa 12 wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika unaendelea mjini Skhirat nchini Morocco.
-
Ayatullah Khatami: Siri ya taifa la Iran kuishinda Marekani ni umoja na mshikamano
May 03, 2019 06:57Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, muono wa mbali, kuwa na mahudhurio katika medani, kusimama kidete, umoja na mshimano ndio siri ya ushindi wa taifa la Iran mbele ya Marekani na washirika wake.
-
Umoja wa Kitaifa, wa Kiislamu na wa Kibinadamu; masharti ya lazima ya ushindi wa Wapalestina
Mar 30, 2019 22:01Ubalozi wa Palestina mjini Tehran umetoa taarifa kwa munasaba wa Siku ya Ardhi Palestina na kusisitiza kuhusu udharura wa kuwepo umoja wa kitaifa, wa Kiislamu na wa Kibinadamu kama masharti yasiyoepukika kwa ajili ya kupatikana ushindi mbele ya njama hatari za maadui.
-
Kiongozi Muadhamu: Umoja, mshikamano na kauli moja; njia pekee ya Ulimwengu wa Kiislamu kuzishinda njama dhidi yake
Nov 26, 2018 14:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, njia pekee ya Ulimwengu wa Kiislamu kuzishinda njama dhidi yake ni kudumisha umoja, mshikamano na kuwa na kauli moja.