Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Indhari ya UN kuhusiana na kushamiri ubaguzi na uenezaji chuki ndani ya jamii ya Marekani

    Indhari ya UN kuhusiana na kushamiri ubaguzi na uenezaji chuki ndani ya jamii ya Marekani

    Nov 25, 2021 23:17

    Fernand de Varennes, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya haki za binadamu za jamii za wachache, ametahadharisha juu ya kuzidi kupanuka ufa wa kukosekana usawa na uenezaji chuki dhidi ya jamii za wachache katika mfumo wa vyombo vya mahakama na vyombo vya habari vya Marekani na kutilia mkazo udharura wa kuanzishwa sheria ya kimataifa ya kukabiliana na uenezaji chuki.

  • Msemaji wa UN: Mfumo wa fedha na kibenki wa Afghanistan unakaribia kusambaratika

    Msemaji wa UN: Mfumo wa fedha na kibenki wa Afghanistan unakaribia kusambaratika

    Nov 23, 2021 08:38

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine ametahadharisha kuhusu mgogoro wa kiuchumi huko Afghanistan na kueleza kuwa mfumo wa fedha na kibenki wa nchi hiyo unakaribia kuanguka.

  • Iran yataja sababu ya kuenea uhalifu na ugaidi kote duniani

    Iran yataja sababu ya kuenea uhalifu na ugaidi kote duniani

    Nov 23, 2021 00:00

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema sababu kuu ya kuenea uhalifu na ugaidi katika maeneo mbalimbali ya dunia ni magendo na biashara haramu ya silaha nyepesi na ndogo.

  • Umoja wa Mataifa watoa wito wa kuhitimishwa vita kaskazini mwa Ethiopia

    Umoja wa Mataifa watoa wito wa kuhitimishwa vita kaskazini mwa Ethiopia

    Nov 20, 2021 04:45

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuhitimishwa vita na mapigano kati ya serikali ya Ethiopia na wapiganaji wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) kaskazinii mwa nchi hiyo.

  • UN: Mauaji ya waandamanaji Sudan ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu

    UN: Mauaji ya waandamanaji Sudan ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu

    Nov 19, 2021 08:09

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mauaji ya watu 39 nchini Sudan yaliyofanywa na vikosi vya ulinzi tangu yalipofanyika mapinduzi ya kijeshi nchini humo tarehe 25 Oktoba mwaka huu.

  • UN: Waliohusika na mauaji ya mateka 10 wa kivita Yemen wafunguliwe mashtaka

    UN: Waliohusika na mauaji ya mateka 10 wa kivita Yemen wafunguliwe mashtaka

    Nov 18, 2021 23:26

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa taarifa akilaani mauaji yaliyofanywa na mamluki na vibaraka wa Saudi Arabia dhidi ya matekani 10 wa vita wa jeshi la Yemen na kusema kuwa mauaji hayo yanakiuka sheria za kimataifa na haki za binadamu.

  • UNICEF: Watoto wana imani na mustakabali bora duniani kuliko watu wazima

    UNICEF: Watoto wana imani na mustakabali bora duniani kuliko watu wazima

    Nov 18, 2021 04:29

    Kura ya maoni iliyoendeshwa katika nchi 21 ikihusisha watoto na watu wazima imeonesha kuwa watoto wanaamini dunia inakuwa bora zaidi huku watu wazima wakiwa na shaka na shuku.

  • UN yatiwa wasiwasi na kukamatwa maelfu ya Watigray katika mji mkuu wa Ethiopia

    UN yatiwa wasiwasi na kukamatwa maelfu ya Watigray katika mji mkuu wa Ethiopia

    Nov 16, 2021 23:31

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya haki za bindamu, OHCHR, imeelezea wasiwasi wake kufuatia vitendo vya ukamataji wa watu vilivyofanyika wiki iliyopita katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, na pia katika maeneo ya Gondar, Bahir Dar na mengineyo, huku polisi wakitumia vifungu vingi vya hali ya hatari iliyotangazwa tarehe 2 Novemba ili kuwatafuta, kuwakamata na kuwaweka watu kizuizini.

  • Umoja wa Mataifa wakosoa vitendo vya mabavu vya nchi za Ulaya dhidi ya wakimbizi

    Umoja wa Mataifa wakosoa vitendo vya mabavu vya nchi za Ulaya dhidi ya wakimbizi

    Nov 13, 2021 08:19

    Akizungumza katika bunge la Ulaya Filippo Grandi Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amekosoa vitendo vya mabavu na ukandamizaji wa Umoja wa Ulaya dhidi ya wakimbizi na kusisitiza kuwa siku zote na mara kwa mara tunashuhudia raia wanaotafuta hifadhi barani Ulaya wakifukuzwa kwa mabavu na visingizio vya kisheria kutumika katika kuwanyima hifadhi raia hao.

  • Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa kibinadamu nchini Afghanistan

    Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa kibinadamu nchini Afghanistan

    Nov 13, 2021 00:48

    Mwakilishi wa Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Afghanistan ametahadharisha kuhusu mgogoro mkubwa wa kibinadamu unaoinyemelea nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS