Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Kiongozi wa mapinduzi Guinea awapiga marufuku maafisa wa serikali kusafiri nje ya nchi

    Kiongozi wa mapinduzi Guinea awapiga marufuku maafisa wa serikali kusafiri nje ya nchi

    Sep 07, 2021 02:56

    Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini Guinea amewapiga marufuku maafisa wa serikali kusafiri kwenda nje ya nchi hadi itakapotolewa taarifa nyingine sambamba na kuondoa kafyu iliyokuwa imewekwa kwenye maeneo ya migodi ya madini.

  • Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika zalaani mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea

    Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika zalaani mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea

    Sep 05, 2021 23:14

    Umoja wa Afrika umelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea na kulitaka jeshi kumuachilia huru Rais Alpha Conde mara moja.

  • Baada ya miaka kadhaa, mara hii Rais wa Tanzania atashiriki mkutano wa Baraza Kuu la UN

    Baada ya miaka kadhaa, mara hii Rais wa Tanzania atashiriki mkutano wa Baraza Kuu la UN

    Sep 04, 2021 03:30

    Kwa mara ya kwanza, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushiriki katika mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ambao katika ngazi ya viongozi wakuu, unatarajiwa kuanza tarehe 21 mpaka 27 za mwezi huu wa Septemba 2021.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu tatizo kubwa wa chakula nchini Afghanistan

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu tatizo kubwa wa chakula nchini Afghanistan

    Sep 02, 2021 02:57

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na uhaba mkubwa chakula nchini Afghanistan na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kuisaidia nchi hiyo.

  • Guterres: UN iko tayari kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Guterres: UN iko tayari kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Aug 31, 2021 09:02

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtumia ujumbe Rais wa Iran na kusema kuwa, taasisi hiyo ya kimataifa iko tayari kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu.

  • UN: Jeshi la Israel limeua Wapalestina 59 Ukingo wa Magharibi

    UN: Jeshi la Israel limeua Wapalestina 59 Ukingo wa Magharibi

    Aug 27, 2021 03:33

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada ya Kibinadamu Kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limesema jeshi la Israel limeua Wapalestina 59 katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu ndani ya mwaka huu 2021 pekee.

  • Iran yataka kupelekwa misaada zaidi ya kibinadamu nchini Syria

    Iran yataka kupelekwa misaada zaidi ya kibinadamu nchini Syria

    Aug 24, 2021 03:10

    Msaidizi Mwandamizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala Maalumu ya Kisiasa ametoa mwito wa kupelekwa nchini Syria misaada zaidi ya kibinadamu.

  • "Kutowajibishwa Israel kumeifanya iendelee kukiuka sheria za kimataifa"

    Aug 18, 2021 08:23

    Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kutoubebesha dhima utawala haramu wa Israel kumeushajiisha na kuupa uthubutu wa kuendelea kukanyaga sheria za kimataifa.

  • Umoja wa Mataifa wakosoa vikwazo vya upande mmoja

    Umoja wa Mataifa wakosoa vikwazo vya upande mmoja

    Aug 13, 2021 04:35

    Wataalamu huru wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa wamesema katika taarifa iliyosambazwa Jumatano kwamba vikwazo vya upande mmoja vinavyotekelezwa kimataifa na baadhi ya nchi vimewapokonya watu wengi ulimwenguni haki yao ya kujistawisha kimaendeleo.

  • Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu Afghanistan

    Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu Afghanistan

    Aug 07, 2021 06:58

    Kikao maalumu cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Afghanistan kilifanyika jana Ijumaa mjini New York.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS