-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu tatizo kubwa wa chakula nchini Afghanistan
Sep 02, 2021 02:57Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na uhaba mkubwa chakula nchini Afghanistan na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kuisaidia nchi hiyo.
-
Guterres: UN iko tayari kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Aug 31, 2021 09:02Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtumia ujumbe Rais wa Iran na kusema kuwa, taasisi hiyo ya kimataifa iko tayari kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu.
-
UN: Jeshi la Israel limeua Wapalestina 59 Ukingo wa Magharibi
Aug 27, 2021 03:33Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada ya Kibinadamu Kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limesema jeshi la Israel limeua Wapalestina 59 katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu ndani ya mwaka huu 2021 pekee.
-
Iran yataka kupelekwa misaada zaidi ya kibinadamu nchini Syria
Aug 24, 2021 03:10Msaidizi Mwandamizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala Maalumu ya Kisiasa ametoa mwito wa kupelekwa nchini Syria misaada zaidi ya kibinadamu.
-
"Kutowajibishwa Israel kumeifanya iendelee kukiuka sheria za kimataifa"
Aug 18, 2021 08:23Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kutoubebesha dhima utawala haramu wa Israel kumeushajiisha na kuupa uthubutu wa kuendelea kukanyaga sheria za kimataifa.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa vikwazo vya upande mmoja
Aug 13, 2021 04:35Wataalamu huru wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa wamesema katika taarifa iliyosambazwa Jumatano kwamba vikwazo vya upande mmoja vinavyotekelezwa kimataifa na baadhi ya nchi vimewapokonya watu wengi ulimwenguni haki yao ya kujistawisha kimaendeleo.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu Afghanistan
Aug 07, 2021 06:58Kikao maalumu cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Afghanistan kilifanyika jana Ijumaa mjini New York.
-
Balozi wa Iran UN: Baraza la Usalama lichukue hatua dhidi ya chokochoko za Israel katika eneo
Aug 07, 2021 03:34Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa Baraza la Usalama la umoja huo inapasa lichukue hatua ya kukabiliana na chokochoko zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo.
-
UN yapinga matamshi ya kifidhuli ya utawala wa Israel dhidi ya Iran
Aug 06, 2021 01:46Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepinga matusi na matamshi ya kifidhuli yaliyotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
UN: Watu laki mbili wamekuwa wakimbizi kutokana na vita nchini Ethiopia
Aug 04, 2021 22:45Mkuu wa Ofisi ya Uratibu wa masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa amesema kuwa, watu laki mbili wamekuwa wakimbizi katika jimbo la Amhara na wengine elfu 45 katika jimbo la Afar huko Ethiopia kutokana na mapigano nchini humo.