-
Umoja wa Mataifa wapasisha azimio la haki ya Wapalestina ya kujiainisha hatima yao
Nov 20, 2020 04:17Umoja wa Mataifa umepasisha azimio linalotilia mkazo haki walionayo Wapalestina ya kujiainishia hatima na mustakabali wao.
-
UN: Watu 3,700 wanapoteza maisha kila siku katika ajali za barabarani
Nov 15, 2020 23:34Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu kuongezeka idadi ya vifo vinavyosababishwa na ajali za barabarani duniani na kubainisha kuwa, watu 3,700 wanaaga dunia kila siku katika ajali hizo.
-
UN yazipongeza pande hasimu Libya kwa kuafikiana kufanyika uchaguzi
Nov 12, 2020 04:00Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya pande hasimu za kisiasa nchini Libya kukubaliana kuitisha uchaguzi mkuu nchini humo katika kipindi cha miezi 18 ijayo.
-
Kabuga afikishwa katika Mahakama ya Umoja wa Mataifa, asema hana hatia
Nov 12, 2020 00:51Mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Felicien Kabuga jana Jumatano alifikishwa katika Mahakama ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania ambapo alisisitiza kuwa hana hatia katika mashitaka ya jinai yanayomkabili.
-
Hotuba ya Zarif kwa mnasaba wa miaka 75 ya kuasisiwa UN; kubainisha wasiwasi na matumaini
Oct 28, 2020 00:51Umoja wa Mataifa uliasisiwa miaka 75 iliyopita ukiwa na malengo mawili. Mosi kulinda na kuimarisha amani duniani.
-
Mwito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania
Oct 27, 2020 09:24Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres ametaka mchakato mzima wa uchaguzi nchini Tanzania kuwa huru na haki.
-
UN yatangaza kuanza kutekelezwa mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia
Oct 25, 2020 04:33Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa nchi nyingine 50 zimepasisha utekelezaji wa mkataba unaopiga marufuku silaha za nyuklia.
-
Indhari ya UN kuhusu hali mbaya ya Yemen na kuendelea jinai za Muungano wa Saudia kwa uungaji mkono wa Magharibi
Oct 21, 2020 02:48Mnamo mwezi Machi 2015, Saudi Arabia ikishirikiana na Imarati ilianzisha vita vya kidhalimu dhidi ya wananchi wa Yemen kupitia muungano wao wa pamoja wa kijeshi; na hadi sasa muungano huo vamizi umeshaua na kujeruhi makumi ya maelfu ya watu nchini humo.
-
UN: Corona kuongeza idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa wameshakufa
Oct 08, 2020 23:07Takwimu rasmi zinaonesha kuwa, mtoto mmoja huzaliwa akiwa ameshakufa katika kila sekunde 16, ikiwa ni takriban watoto milioni mbili kila mwaka kote duniani.
-
Taarifa ya mataifa 26 ya dunia ya kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Oct 06, 2020 23:41Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kigeni inashikilia rekodi ya kuwa dola lililoyawekea mataifa mengine ya dunia vikwazo vya upande mmoja.