Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Umoja wa Mataifa wakaribisha makubaliano ya amani ya Sudan

    Umoja wa Mataifa wakaribisha makubaliano ya amani ya Sudan

    Oct 04, 2020 08:24

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kwa mikono miwili kutiwa saini makubaliano ya amani baina ya serikali ya Sudan na makundi makuu ya waasi.

  • Umoja wa Mataifa waomba msaada zaidi ili kufanikisha mpango wake wa chanjo ya  Covid-19

    Umoja wa Mataifa waomba msaada zaidi ili kufanikisha mpango wake wa chanjo ya Covid-19

    Oct 01, 2020 21:11

    Jumla ya nchi 168 zimejiunga na mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuandaa chanjo ya maradhi ya Covid-19 huku Uingereza, Canada na Ujerumani zikiahidi kutoa karibu dola bilioni moja kuchangia mpango huo.

  • UN: Afrika imepoteza dola bilioni 800 kutokana na magendo

    UN: Afrika imepoteza dola bilioni 800 kutokana na magendo

    Sep 30, 2020 01:09

    Shirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD) limesema bara la Afrika limepoteza zaidi ya dola bilioni 800 ndani ya miaka michache iliyopita kutokana na magendo na mzunguko haramu wa fedha.

  • Mahmoud Abbas autaka Umoja wa Mataifa uilinde Palestina

    Mahmoud Abbas autaka Umoja wa Mataifa uilinde Palestina

    Sep 28, 2020 04:01

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, kadhia ya Palestina ni mtihani mkubwa kwa Umoja wa Mataifa wa kuthibitisha heshima na itibari yake.

  • Mivutano baina ya Marekani na China yashadidi baada ya hotuba ya Trump katika Umoja wa Mataifa

    Mivutano baina ya Marekani na China yashadidi baada ya hotuba ya Trump katika Umoja wa Mataifa

    Sep 24, 2020 04:40

    Katika hotuba yake ya mwisho kwenye ukumbi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika kipindi chake cha kwanza cha urais wa Marekani, Donald Trump amejikita zaidi katika masuala ya China na Iran na kudai kuwa, Marekani imejiondoa katika makubaliano mabaya sana ya nyuklia ya JCPOA na imeiwekea Iran vikwazo vya kulema.

  • Rais Rouhani: Sasa ni wakati wa walimwengu kusema

    Rais Rouhani: Sasa ni wakati wa walimwengu kusema "hapana" kwa ubabe na utumiaji mabavu

    Sep 23, 2020 00:34

    Rais Hassan Rouhani amesema: "Marekani haiwezi kutulazimisha kufanya mazungumzo wala kuanzisha vita dhidi yetu" na akasisitiza kwamba, sasa ni wakati wa walimwengu kusema "la" kwa ubabe na utumiaji mabavu.

  • Mataifa 29 yaikosoa Saudia kwa mauaji ya Khashoggi, ukandamizaji

    Mataifa 29 yaikosoa Saudia kwa mauaji ya Khashoggi, ukandamizaji

    Sep 17, 2020 03:39

    Mataifa 29 yakiwa mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, yamewakosoa vikali watawala wa Saudi Arabia kwa ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, sambamba na kutaka kuwajibishwa utawala wa Aal-Saud kwa mauaji ya kikatili aliyofanyiwa mwandishi wa habari na mkosoaji mkubwa wa Riyadh, Jamal Khashoggi katika ubalozi wa nchi hiyo ya Kiarabu nchini Uturuki.

  • UN, Uturuki zakosoa hukumu ya Saudia dhidi ya wauaji wa Khashoggi

    UN, Uturuki zakosoa hukumu ya Saudia dhidi ya wauaji wa Khashoggi

    Sep 08, 2020 03:23

    Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Saudi Arabia dhidi wahusika wa mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari raia wa Saudia aliyeuliwa kinyama ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki mwaka 2018.

  • UN: Mamilioni katika hatari ya kufa njaa DRC, Sudan Kusini, Nigeria na Yemen

    UN: Mamilioni katika hatari ya kufa njaa DRC, Sudan Kusini, Nigeria na Yemen

    Sep 05, 2020 06:23

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, mamilioni ya watu wananyemelewa na kifo kutokana na baa la njaa na ukosefu wa usalama wa chakula katika nchi tatu za Afrika pamoja na Yemen.

  • Rais wa Baraza Kuu la UN atofautiana na Trump kuhusu chanjo ya corona

    Rais wa Baraza Kuu la UN atofautiana na Trump kuhusu chanjo ya corona

    Sep 05, 2020 06:18

    Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 inapasa wapewe watu wote wanaoihitaji, na kwamba kuna udharura kwa nchi zote kushirikishwa katika mchakato wa kutengeneza na kugawa chanjo yenyewe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS