Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN yawatuza mamia ya askari wa Uganda walioko Somalia

    UN yawatuza mamia ya askari wa Uganda walioko Somalia

    Sep 01, 2020 03:14

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewapa medali ya heshima wanajeshi 600 wa Uganda wanaolinda taasisi na wafanyakazi wa UN nchini Somalia.

  • Yemen yakosoa hatua ya UN ya kuiondoa Saudia katika orodha ya wauaji  wa watoto

    Yemen yakosoa hatua ya UN ya kuiondoa Saudia katika orodha ya wauaji wa watoto

    Aug 12, 2020 07:00

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Uwokozi wa Kitaifa ya Yemen amekosoa hatua ya Umoja wa Mataifa ya kuiondoa Saudi Arabia katika orodha ya wauaji wa watoto.

  • UN: Makundi yenye silaha Congo yameua watu 1,300 katika nusu ya kwanza ya 2020

    UN: Makundi yenye silaha Congo yameua watu 1,300 katika nusu ya kwanza ya 2020

    Aug 06, 2020 03:40

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, makundi yanayobeba silaha yameua watu zaidi ya 1,300 katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Umoja wa Mataifa wakosoa ukandamizaji unaofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Marekani

    Umoja wa Mataifa wakosoa ukandamizaji unaofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Marekani

    Jul 25, 2020 22:10

    Maandamano makubwa na yasiyo na mfano wake ambayo yamekuwa yakifanyika nchini Marekani tokea kuuawa kinyama kwa Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minnesota katika jimbo la Minneapolis tarehe 25 Mei, yangali yanaendelea licha ya ukandamizaji mkubwa unaofanywa na serikali ya Trump dhidi ya waandamanaji.

  • UN yasisitiza kuchungwa usalama wa ndege za abiria kufuatia chokochoko za ndege za kivita za Marekani

    UN yasisitiza kuchungwa usalama wa ndege za abiria kufuatia chokochoko za ndege za kivita za Marekani

    Jul 25, 2020 03:45

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, usalama wa safari za ndege za abiria inapasa uheshimiwe na nchi zote.

  • Bunge la Malaysia: Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mataifa na asasi zake

    Bunge la Malaysia: Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mataifa na asasi zake

    Jul 17, 2020 22:02

    Wawakilishi wa Bunge la Malaysia wametoa wito wa kufukuzwa utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa.

  • UN yakosoa athari mbaya za misimamo hasi ya Trump kwa uhuru wa vyombo vya habari

    UN yakosoa athari mbaya za misimamo hasi ya Trump kwa uhuru wa vyombo vya habari

    Jul 15, 2020 01:48

    Tangu alipochukua hatamu za kuiongoza Marekani tarehe 20 Januari mwaka 2017, Rais Donald Trump amekua akielekeza panga lake kali kwenye vyombo vya habari vinavyokosoa utendaji na mienendo yake.

  • Umoja wa Mataifa walaani hujuma dhidi ya askari wake CAR

    Umoja wa Mataifa walaani hujuma dhidi ya askari wake CAR

    Jul 14, 2020 22:08

    Umoja wa Mataifa umelaani vikali hujuma iliyofanywa dhidi ya askari wake wa kulinda amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo imepelekea kuuawa askari mmoja wa kulinda amani raia wa Rwanda na wengine wawili kujeruhiwa.

  • IOM: Wahajiri 2,300 wanazuiliwa katika mazingira ya kuogofya Libya

    IOM: Wahajiri 2,300 wanazuiliwa katika mazingira ya kuogofya Libya

    Jul 14, 2020 03:33

    Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema maelfu ya wahajiri wanazuiliwa katika mazingira ya kutisha huko nchini Libya.

  • Mrengo wa al-Fat'h Iraq: Serikali iharakishe mashtaka dhidi ya Marekani UN kwa mauaji ya Al-Muhandis

    Mrengo wa al-Fat'h Iraq: Serikali iharakishe mashtaka dhidi ya Marekani UN kwa mauaji ya Al-Muhandis

    Jul 12, 2020 23:37

    Muungano wa al-Fat'h katika Bunge la Iraq umeitaka serikali iharakishe mchakato wa kuwasilisha rasmi mashtaka Umoja wa Mataifa ya jinai iliyofanywa na Marekani ya kumuua kigaidi Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa al-Hashdu-Sha'abi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS