-
WFP: Wayemen milioni 10 wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula
Jul 11, 2020 06:34Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema wananchi milioni 10 wa Yemen wanaandamwa na ubaha mkubwa wa chakula.
-
Ansarullah yapinga mapendekezo ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen
Jul 10, 2020 20:12Harakati ya Ansarullah ya Yemen imepinga mpango uliopendekezwa na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya nchi hiyo, Martin Griffiths kuhusu mgogoro wa Yemen ikisema unapendelea muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
UN yataka kuachiwa huru wanaharakati wanawake walioko jela Saudi Arabia
Jul 09, 2020 22:37Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limezitaka nchi nyingine duniani kuiwekea Saudi Arabia mashinikizo ili kuwaachia huru wanaharakati wa kijamii wanawake waliofungwa jela nchini humo.
-
Guterres: Uingiliaji wa kigeni wa hivi sasa Libya haujawahi kushuhudiwa
Jul 09, 2020 10:55Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema uingiliaji wa madola ya kigeni katika mgogoro wa Libya unaoshuhudiwa hivi sasa upo katika kiwango ambacho hakijawahi kuonekana tena huko nyuma.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kukiuka sheria mauaji dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jul 08, 2020 02:02Mnamo Januari 3 mwaka huu, jeshi la kigaidi la Marekani kwa amri ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump lilitenda jinai kwa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran akiwa uraiani nchini Iraq tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Baghdad.
-
UN: Magaidi na wenye chuki wanatumia janga la corona kuendeleza ajenda zao
Jul 07, 2020 02:53Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema magenge ya kigaidi na makundi ya kibaguzi na yenye misimamo mikali yanatumia janga la kimataifa la corona kuendeleza ajenda zao hususan kupanda mbegu za chuki na uhasama katika jamii.
-
Ripota Maalumu wa UN: Mauaji ya Soleimani yalikiuka sheria za kimataifa
Jul 07, 2020 02:48Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kamanda shahidi wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) yalikiuka sheria za kimataifa na Hati ya UN.
-
Maafisa 2 wa UN huko Israel wasimamishwa kazi kwa ufuska
Jul 04, 2020 03:39Umoja wa Mataifa umewasimamisha kazi maafisa wake wawili wa timu ya operesheni za usalama eneo la Asia Magharibi baada ya kubainika kuwa walijihusisha na vitendo vya ufuska ndani ya utawala haramu wa Israel.
-
UN: Ghasia zasababisha watu milioni moja kuwa wakimbizi DRC ndani ya miezi 6
Jun 30, 2020 21:56Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limesema ghasia, machafuko na mapigano huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamepelekea watu zaidi ya milioni moja kufurushwa kutoka makwao katika kipindi cha miezi sita iliyopita.
-
Katibu Mkuu wa UN ataka serikali za dunia ziwasaidie wajane
Jun 23, 2020 23:29Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa serikali za nchi mbali mbali duniani kutowatelekeza wajane na badala yake zitoe kipaumbele kwa maslahi ya tabaka hilo la wanawake katika mipango yao ya kufufua chumi za nchi zao zilizoathiriwa na janga la corona.