-
Kufutwa jina la Marekani katika azimio la kupinga ubaguzi wa rangi la Umoja wa Mataifa
Jun 20, 2020 22:43Wakati maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi uliokita mizizi nchini Marekani yakiendelea kurindima kote duniani na hasira zilizosababishwa na mauaji ya kikatili yaliyofanywa na polisi mzungu dhidi ya Mmarekani mweusi zikiwa bado kali, maafisa wa serikali ya Washington wanafanya jitihada kubwa za kuzima harakati ya kimataifa ya kupinga ubaguzi.
-
Umoja wa Mataifa wakabidhiwa nyaraka za Wairani 17,000 waliouawa shahidi nchini
Jun 16, 2020 22:13Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Iran limeukabidhi Umoja wa Mataifa nyaraka kuhusu namna Wairani 17,000 waliovyouawa shahidi katika hujuma za kigaidi nchini.
-
Umoja wa Mataifa wakabidhiwa nyaraka za Wairani 17,000 waliouawa shahidi nchini
Jun 16, 2020 20:46Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Iran limeukabidhi Umoja wa Mataifa nyaraka kuhusu namna Wairani 17,000 waliovyouawa shahidi katika hujuma za kigaidi nchini.
-
Mazungumzo kuhusu ubaguzi wa kizazi; mwito wa nchi za Afrika kwa Baraza la Haki za Binadamu
Jun 13, 2020 23:14Kuuliwa kikatili Mmarekani Mwafrika, Geroge Floyd, kulikofanywa na polisi mzungu tarehe 25 Mei huko Minneapolis, katika jimbo la Minnesota nchini Marekani si tu kumezusha wimbi kubwa la maandamano ndani ya nchi hiyo, bali dunia nzima imeripuka kwa maandamano ya kushinikiza mapambano ya kweli dhidi ya ubaguzi wa rangi na ukatili wa jeshi la polisi la Marekani.
-
Zarif: Madai kuwa mashambulio dhidi ya ARAMCO yalitumia silaha kutoka Iran hayana msingi
Jun 13, 2020 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, madai kwamba makombora yaliyotumika kushambulia taasisi za mafuta za Saudi Arabia ARAMCO yana asili ya Iran, hayana msingi wowote na kuongeza kuwa, inasikitisha kuona kwamba sekretarieti ya Umoja wa Mataifa imeonesha kivitendo kuwa inaathiriwa na vitisho vya Marekani.
-
UN yataka kufanyika marekebisho ya haraka katika muundo wa polisi Marekani
Jun 13, 2020 00:09Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi jana Ijumaa iliitaka serikali ya Marekani kutetekeleza marekebisho haraka iwezekanavyo kwa ajili ya kuondoa ubaguzi wa rangi wa kimfumo katika muundo wa polisi ya nchi hiyo.
-
UN yasikitishwa na hatua ya Trump ya kuiwekea vikwazo ICC
Jun 13, 2020 00:03Umoja wa Mataifa umeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Kuisusia ICC; muendelezo wa ushari wa Trump dhidi ya taasisi za kimataifa
Jun 12, 2020 22:35Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza ushari wake wa kutojali, kuponda na kutoa vitisho dhidi ya taasisi za kimataifa. Hadi hivi sasa Trump ameshaitoa Marekani kwenye taasisi kadhaa za Umoja wa Mataifa kama vile UNESCO na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na hivi sasa ametishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
-
Umoja wa Mataifa wapatwa na wasiwasi kufuatia kugunduliwa makaburi ya umati Libya
Jun 12, 2020 03:07Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini libya umeingiwa na wasiwasi mkubwa baada ya kugunduliwa makaburi ya umati magharibi mwa nchi hiyo.
-
UN yasisitiza ulazima wa kutatuliwa mgogoro wa Libya kwa njia za amani
Jun 09, 2020 03:04Uingiliaji kati wa nchi za kigeni katika mgogoro wa Libya umezidisha wasiwasi wa kimataifa kuhusu mgogoro huo. Katika mkondo huo Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusiana na hali ya Libya na umezitaka pande zote zinazohusika kuheshimu njia za kisiasa za kutatua mgogoro huo.