Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Wabunge wa Umoja wa Ulaya wataka kutambuliwa rasmi nchi ya Palestina

    Wabunge wa Umoja wa Ulaya wataka kutambuliwa rasmi nchi ya Palestina

    Sep 20, 2018 23:31

    Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya wamezitaka nchi wanachama wa umoja huo kuitambua rasmi na haraka iwezekanavyo nchi huru ya Palestina.

  • Hatua mpya za Umoja wa Ulaya za kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Hatua mpya za Umoja wa Ulaya za kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Sep 15, 2018 03:29

    Umoja wa Ulaya (EU), ambao nchi zake tatu muhimu, yaani Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ni wanachama wa kundi 5+1, mbali kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya Iran ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) umesisitiza kukabiliana na hatua za Marekani za kutaka kuyavunja makubaliano hayo; na katika kufanya hivyo umechukua hatua nyengine mpya kwa madhumuni ya kuyalinda makubaliano hayo ya JCPOA.

  • Umoja wa Ulaya wataka kushtakiwa wahusika wa jinai dhidi ya Waislamu Warohingya

    Umoja wa Ulaya wataka kushtakiwa wahusika wa jinai dhidi ya Waislamu Warohingya

    Sep 15, 2018 03:20

    Umoja wa Ulaya umetoa wito wa kufuatiliwa kisheria wale wote waliohusika na jinai dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.

  • Junker: Ushirikiano mpya wa AU na EU kubuni nafasi milioni 10 za ajira

    Junker: Ushirikiano mpya wa AU na EU kubuni nafasi milioni 10 za ajira

    Sep 12, 2018 09:25

    Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya amesema EU inapania kuzindua ushirikiano mpya kati yake na Umoja wa Afrika utakaosababisha kubuniwa mamilioni ya nafasi za ajira.

  • Umoja wa Ulaya waiunga mkono mahakama ya ICC kuhusiana na Marekani

    Umoja wa Ulaya waiunga mkono mahakama ya ICC kuhusiana na Marekani

    Sep 12, 2018 02:41

    Umoja wa Ulaya umetoa radiamali yake kwa vitisho vya Marekani vya kutaka kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na kuunga mkono hatua zinazochukuliwa na mahakama hiyo.

  • EU yalaani kuhukumiwa kifo wananchama wa Ikhwani, Misri

    EU yalaani kuhukumiwa kifo wananchama wa Ikhwani, Misri

    Sep 11, 2018 20:50

    Umoja wa Ulaya umelaani hukumu ya kifo iliyotolewa na mahakama moja nchini Misri, dhidi ya makumi ya wanachama wa harakati ya Ikhwanul Muslimin.

  • Umoja wa Ulaya wazidi kuisusia Israel, Mogherini akataa kuonana na walowezi wa Kizayuni

    Umoja wa Ulaya wazidi kuisusia Israel, Mogherini akataa kuonana na walowezi wa Kizayuni

    Sep 10, 2018 02:54

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amekataa ombi la kundi moja la walowezi wa Kizayuni waliotaka kuonana naye mjini Brussels, Ubalgiji.

  • Umoja wa Ulaya wataka Israel isitishe kubomoa nyumba za Wapalestina

    Umoja wa Ulaya wataka Israel isitishe kubomoa nyumba za Wapalestina

    Sep 08, 2018 10:56

    Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya Federica Mogherini ametoa mwito kwa utawala wa Kizayuni wa Israel usitisha mara moja bomoa bomoa ya nyumba za Wapalestina.

  • Italia yakata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya (EU)

    Italia yakata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya (EU)

    Aug 26, 2018 02:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ametangaza kuwa nchi hiyo imekata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya kufuatia kuendelea mivutano kati ya umoja huo na Italia kuhusu suala la wahajiri waliokwama katika meli ya gadi ya pwani ya Italia kwa jina la Diciotti (Dichuti).

  • Sisitizo la Trump la kuzidi kuzibana kiuchumi nchi za Ulaya

    Sisitizo la Trump la kuzidi kuzibana kiuchumi nchi za Ulaya

    Aug 24, 2018 08:54

    Rais wa Marekani, Donald Trump amesisitizia utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi ya "Marekani Kwanza" na ameahidi kuendelea kuzibana kiuchumi nchi za Ulaya kwa ajili ya kurejesha kile alichodai ni nguvu za Marekani zilizopotea.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS