-
Austria yaikosoa vikali Marekani kutokana na kujiondoa katika JCPOA
Jul 29, 2018 02:56Kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA Mei mwaka huu, hatua ambayo ilichukuliwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo, kulifuatiwa na ukosoaji mkubwa wa nchi zingine wanachama wa kundi la 5+1 zikiwemo nchi tatu za Troika ya Ulaya za Ufaransa, Uingereza na Ujerumani.
-
Iran yaitaka EU iache maneneo matupu na kutekeleza ahadi kivitendo
Jul 18, 2018 08:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran sambamba na kusisitiza umuhimu wa uhusiano wa Iran na Umoja wa Ulaya baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, amesema, baada ya Ulaya kuahidi kufungamana na JCPOA, sasa umewadia wakati wa kutekeleza ahadi hizo kivitendo.
-
Hatua mpya ya Umoja wa Ulaya ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jul 18, 2018 05:31Licha ya kuendelea vitisho vya Marekani kuhusiana na mapatano ya nyuklia ya Iran JCPOA, Umoja wa Ulaya umepitisha sheria ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran inayojulikana kama 'Sheria Zuizi.'
-
AEOI: Iran ipo tayari kuimarisha urutubishaji urani JCPOA ikifeli
Jul 18, 2018 02:56Behrouz Kamalvandi, Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) amesema Tehran iko tayari kuimarisha urutubishaji urani kwa kiwango cha juu iwapo jitihada za Umoja wa Ulaya za kuyanasuru makubaliano ya nyuklia ya Iran zitagonga mwamba.
-
EU yapinga mashinikizo ya Marekani kuitenga Iran
Jul 17, 2018 02:39Mkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya amesema EU haiwezi kuburuzwa na Marekani na kushinikizwa kuitenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani: Marekani haiaminiki tena
Jul 16, 2018 22:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amejibu matamshi na hujuma ya maneno ya Rais wa Marekani aliyeutaja Umoja wa Ulaya kuwa ni "adui" kwa kusema: Ulaya haiwezi tena kuitegemea Ikulu ya Rais wa Marekani.
-
Rais Donald Trump: Umoja wa Ulaya ni adui wa Marekani
Jul 15, 2018 23:41Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi mapya akiutaja Umoja wa Ulaya kuwa ni adui wa Marekani.
-
Umoja wa Ulaya hautambui rasmi kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina
Jul 13, 2018 23:35Msemaji wa mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo hautambui rasmi hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kukali kwa mabavu ardhi za Wapalestina ulizoziteka mwaka 1967.
-
Le Drian: Hatumruhusu Trump kuiyumbisha Ulaya
Jul 13, 2018 10:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amekosoa siasa za kiuchumi zinazotekelezwa na Rais wa Marekani kuhusiana na Ulaya na kueleza kuwa, Paris haitatoa mwanya kwa Trump kuivuruga Ulaya.
-
Sudan yamwita balozi wa EU kulalamikia matamshi ya kutiwa mbaroni al Bashir
Jul 12, 2018 10:30Kufuatia taarifa iliyotolewa na Umoja wa Ulaya juu ya udharura wa kutiwa mbaroni Rais Omar Hassan Ahmad al-Bashir wa Sudan, Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo imemwita balozi wa umoja huo mjini Khartoum na kumfikishia malalamiko yake.