-
UNESCO yaziweka 'Caravanserai' za kihistoria za Iran kwenye orodha yake ya turathi za dunia
Sep 19, 2023 13:17Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeongeza Caravanserai' 54 za kihistoria za Iran katika orodha yake ya maeneo ya turathi za dunia.
-
Saudi Arabia yainyima Israel kibali cha kuhudhuria mkutano wa UNESCO
Jul 01, 2023 06:54Shirika la habari la Sputnik la Russia limetangaza kuwa, Saudi Arabia imekataa kuwaruhusu wawakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel kuhudhuria mikutano ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambayo imepangwa kufanyika mjini Riyadh mwezi Septemba mwaka huu.
-
UNESCO: Hujuma na jinai za utawala wa Kizayuni Baitul Muqaddas ni batili
Oct 14, 2021 13:02Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limesema, Baitul Muqaddas (Jerusalem) ni mji unaokaliwa kwa mabavu; na hujuma na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya mji huo ni batili.
-
Watoto wa Kiafghani zaidi ya milioni nne hawaendi shule
Sep 19, 2021 06:47Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeripoti kuwa watoto wa Kiafghani zaidi ya milioni nne hawajajiandikisha kuanza shule mwaka huu nchini humo.
-
UNESCO: Idadi ya watoto wasiokwenda shule imeongezeka duniani
Sep 16, 2019 04:51Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limetahadharisha kuwa, kuna uwezekano kwamba, mwaka huu watoto karibu milioni 12 watashindwa kwenda mashuleni kupata elimu.
-
Iran yaweka rekodi ya ongezeko la wanafunzi wengi wa kigeni katika vyuo vikuu
Dec 04, 2018 13:39Shirika la Sayansi, Elimu na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeitangaza kuwa, Iran inashikilia rekodi ya ustawi na kukua idadi ya wanafunzi wa kigeni wanaopata elimu katika vyuo vyake vikuu.
-
UNESCO yajumuisha maeneo 8 ya Iran katika orodha ya turathi za dunia
Jul 01, 2018 07:26Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeyaweka maeneo manane ya kihistoria ya kabla ya ujio wa Uislamu hapa nchini Iran katika orodha yake ya turathi za dunia.
-
Marekani, Israel zatengwa kimataifa baada ya kujiondoa UNESCO
Oct 13, 2017 14:56Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zimetengwa kimataifa bada ya kutangaza kujiondoa katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO.
-
Marekani kujiondoa UNESCO Disemba mwaka huu
Oct 12, 2017 14:17Marekani imetangaza kuwa itajiondoa kwenye Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) kuanzia Disemba 31 mwaka huu.
-
UNESCO: Watoto milioni 1.8 wamenyimwa fursa ya kusoma Sudan Kusini
Sep 09, 2017 03:47Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO limetangaza kuwa, watoto wapatao milioni 1.8 wamenyimwa fursa ya kusoma katika nchi ya Sudan Kusini kutokana na hali mbaya ya vita na ukosefu wa amani.