-
UNESCO: Watu Milioni 750 hawajui kusoma na kuandika duniani
Sep 08, 2017 07:43Leo Septemba nane ni siku ya kimataifa ya kupinga ujinga wa kutojua kusoma na kuandika ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni 'kusoma na kuandika katika dunia ya kidijitali'.
-
HAMAS: Iran inaendelea kuunga mkono mapambano ya Palestina
Jul 09, 2017 07:39Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kuunga mkono mapambano ya wananchi wa Palestina na hakuna wakati ambao Tehran ilisitisha himaya na uungaji mkono wake huo.
-
Wanachama UNESCO wakataa wito wa kukaa kimya dakika moja kwa sababu ya Holocaust
Jul 08, 2017 02:52Wito uliotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kikao cha Shirika la Elimu, Syansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) wa kunyamaza kimya dakika moja ili kuonesha heshima kwa eti wahanga wa mauaji ya Holocaust umekabiliwa na upinzani mkali wa mwakilishi wa Cuba katika kikao hicho.
-
UNESCO yaalani vikali hatua ya Daesh ya kubomoa msikiti wa kihistoria wa al Nuri
Jun 23, 2017 04:34Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limelaani vikali hatua ya kundi la kigaidi la Daesh ya kubomoa Msikiti wa kihistoria wa al Nuri katika mji wa Mosul nchini Iraq.
-
UNESCO yakosoa sera za Israel za kukalia kwa mabavu Palestina
May 03, 2017 11:40Kamati ya Utendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Utamaduni na Sayansi UNESCO Jumanne ilipitisha azimio ambalo liliulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kukiuka sheria za kimataifa katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukanda wa Ghaza.
-
UNESCO yatahadharisha kuhusu ukatili unaofanywa dhidi ya wanafunzi mashuleni
Jan 17, 2017 16:30Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limetangaza kuwa, mamilioni ya wasichana na wavulana hukumbana na unyanyasaji na uonevu wanapokuwa mashuleni katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Mwandishi habari mmoja huaga dunia kila siku nne na nusu
Nov 03, 2016 03:53Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) llimetangaza kuwa mwandishi habari mmoja duniani hupoteza maisha katika kila siku nne na nusu.
-
Unesco yawasilisha azimio jipya la kulaani kuharibiwa athari za kihistoria na Israel
Oct 26, 2016 07:44Shirika la Sayansi, Elimu na Utamaduni la Umoja wa Mataifa limewasilisha azimio jipya linalolaani hatua ya Israel ya kuharibu athari za kale katika maeneo matukufu ya Palestina.
-
UNESCO yathibitisha tena kuwa msikiti wa Al-Aqsa ni milki ya Waislamu
Oct 19, 2016 04:04Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limethibitisha tena kwamba msikiti mtukufu wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu ni milki ya Wapalestina.
-
Iran yakaribisha hatua ya UNESCO kuhusiana na Msikiti wa Al-Aqsa
Oct 16, 2016 03:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha hatua ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) ya kuthibitisha haki ya wananchi wa Palestina kuhusiana na ardhi na matukufu yao.