-
Watoto zaidi ya 300 wameuawa katika mashambulizi mapya ya Israel Gaza
Apr 01, 2025 10:38Mamia ya watoto wa Kipalestina wameuawa shahidi tangu utawala wa Kizayuni wa Israel uanze tena operesheni za kijeshi katika Ukanda wa Gaza.
-
UNICEF: Asilimia 90 ya wakazi wa Ghaza wanashindwa kupata maji safi ya kunywa
Mar 17, 2025 05:37Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetahadharisha kuwa uhaba mkubwa wa maji katika Ukanda wa Ghaza umefikia hatua mbaya na ya maafa, kwa ababu karibu asilimia 90 ya wakazi wa eneo hilo wanashindwa kupata maji safi ya kunywa.
-
UNICEF: Zaidi ya watoto milioni moja wa Gaza wanasumbuliwa na tatizo la afya ya akili
Jan 13, 2025 10:56Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umeonya kuwa karibu watoto wote milioni 1.1 katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na mgogoro wa afya ya akili na wanahitaji msaada wa kisaikolojia, huku utawala wa Israel ukiendeleza vita vya kikatili dhidi ya wakazi wa eneo hilo linalozingirwa.
-
Unicef: Ongezeko la ghasia na kuuawa watoto Ukanda wa Gaza ni maafa
Dec 15, 2024 11:03Msemaji wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) amesema kuwa hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza ni ya maafa matupu.
-
Katika muda wa siku moja, jeshi la Kizayuni lafanya mashambulio 145 nchini Lebanon
Nov 17, 2024 12:41Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi 145 nchini Lebanon katika muda wa saa 24 zilizopita huku likishaidisha hujuma zake za kinyama dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu kinyume na wito wa kimataifa wa kuutaka utawala huo haramu usimamishe mashine yake ya mauaji katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
UNICEF yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya watoto wa Lebanon
Oct 01, 2024 13:46Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Lebanon na ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya watoto nchini humo.
-
UNICEF: Zaidi ya watoto 50,000 wa Gaza wanakabiliwa na utapiamlo mkali
Sep 07, 2024 07:17Mfuko wa Kuhudumia Watoto Umoja wa Mataifa wa (UNICEF) umetangaza kuwa, zaidi ya watoto 50,000 huko Gaza wanakabiliwa na utapiamlo mkali.
-
UNICEF: Ghaza imegeuzwa makaburi ya watoto, hakuna mwisho wa mateso wanayopata
Aug 09, 2024 10:10Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umetangaza kuwa, Ukanda wa Ghaza umegeuzwa makaburi ya watoto wa Kipalestina na hakuna mwisho wa machungu na mateso wanayopata watoto hao.
-
UNICEF: Asilimia 90 ya wakaazi wa Gaza wamekimbia makazi yao
Jul 19, 2024 07:26Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, asilimia 90 ya wakaazi wa Ukanda wa Gaza wameyakimbia makazi yao baada ya hujuma na uvamizi wa jeshi la Israel dhidi ya eneo hilo.
-
UNICEF yaonya kuhusu hali ya kutisha ya vita kwa watoto wa Ghaza
Apr 01, 2024 06:51Msemaji wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto ameonya kuhusu hali mbaya na ya kutisha waliyo nayo watoto wa ukanda wa Ghaza ambao wanateseka kwa mambo mengi ikiwemo njaa na mashambulizi ya mfululizo ya wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni.