-
UNICEF: Israel inaendesha "vita vya kuwalenga watoto" wa Ghaza iliyowekewa mzingiro
Mar 22, 2024 02:30Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF James Elder amesema matukio yanayojiri katika Ukanda wa Ghaza ni "vita dhidi ya watoto," na kusisitiza kuwa eneo hilo hivi sasa si mahala pa kuishi watoto.
-
UNRWA yaonya: Watoto wa Gaza wanakufa polepole mbele ya macho ya walimwengu
Mar 05, 2024 07:25Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, limeonya kuhusu vifo vingi vya watoto katika Ukanda wa Gaza huku kukiwa na ukosefu mkubwa wa chakula na upatikanaji wa maji salama na huduma za matibabu katika eneo hilo.
-
UNICEF: Wapalestina zaidi ya milioni moja wanatangatanga majiani Rafah, kusini mwa Gaza
Feb 07, 2024 03:49Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa zaidi ya Wapalestina milioni moja wanatangatanga bila makazi katika mitaa ya Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
UNICEF: Watoto katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na hali mbaya sana
Jan 07, 2024 04:31Mfuko wa Watoto waa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, hahli ya watoto katika Uukaanda wa Gaza ni mbaya mno.
-
UNICEF yatoa mwito wa kusitishwa mashambulio na jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Nov 13, 2023 02:51Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetoa mwito wa kusitishwa mara moja hujuma, mashambulio na jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Ripoti ya UNICEF kwa Baraza la Usalama: Hali ya Ukanda wa Gaza ni mbaya mno
Oct 31, 2023 11:39Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF amewasilisha ripoti kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu hali mbaya na isiyo ya kibinadamu ya watoto katika Ukanda wa Gaza, kutokana na mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni.
-
UNICEF: Dola milioni 400 zinahitajika ili kutoa msaada kwa watoto milioni 9 wa Sudan
Aug 20, 2023 02:27Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa linahitaji dola milioni 400 ili kutoa msaada kwa watoto milioni 9 kati ya watoto walio katika mazingira magumu zaidi nchini Sudan.
-
UN yashtushwa na ongezeko la utapiamlo miongoni mwa wajawazito Afrika
Mar 08, 2023 09:47Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu ongezeko la kutisha la kesi za utapiamlo mkali miongoni mwa wanawake wajawazito hususan katika nchi za Afrika.
-
UNICEF: Wanigeria milioni 25 wako katika hatari kubwa ya kutokuwa na uhakika wa chakula 2023
Jan 17, 2023 07:19Takriban Wanigeria milioni 25 wako katika hatari ya kukabiliwa na njaa kati ya mwezi Juni na Agosti mwaka huu ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa.
-
UNICEF: Vita vya Saudia vimeua, kuwafanya vilema watoto 11,000 wa Yemen
Dec 12, 2022 10:30Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limesema watoto 11,000 wa Kiyemen ama wameuawa au kusababishiwa ulemavu wa daima wa viungo tangu yalipoanza mashambulizi ya muungano vamizi wa kijeshi huko Yemen chini ya uongozi wa Saudi Arabia mwezi Machi 2015.