-
Bei ya chakula duniani imepanda kwa kiwango cha kutisha
Oct 07, 2021 21:12Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) limesema bei ya chakula duniani imepanda kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.
-
Sudan Kusini inakumbwa na uhaba mkubwa wa chakula mwaka 2021
Jun 02, 2021 23:25Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema upungufu mkubwa wa nafaka unatarajiwa nchini Sudan Kusini mwaka huu wa 2021, kutokana na athari za mgogoro wa muda mrefu na mafuriko.
-
FAO: Dagaa ni muhimu katika kumaliza njaa Afrika
Jun 26, 2019 21:54Shirika la Chakula na Kilimo Duniani, FAO limesema utafiti mpya umebaini umuhimu mkubwa wa samaki wadogo kama vile dagaa katika kumaliza tatizo la njaa na kuinua kipato kwa wakazi wa bara la Afrika.
-
Mgogoro wa chakula kuwaathiri mamilioni ya watu mwaka huu duniani, Yemen yaongoza + Video
Apr 03, 2019 02:11Wanasayansi wametahadharisha kuwa, mgogoro wa chakula utawaathiri makumi ya mamilioni ya watu duniani mwaka huu wa 2019 huku vita, majanga ya kimaumbile hasa yatokanayo na hali mbaya ya hewa na migogoro wa kiuchumi ikiwaweka zaidi ya watu milioni 113 katika mahitaji makubwa ya misaada ya kibinadamu mwaka jana.
-
Watu 36 wauawa na kujeruhiwa waking'ang'ania chakula Zambia
Mar 07, 2017 03:40Kwa akali watu wanane wamepoteza maisha huku wengine 28 wakijeruhiwa katika mkanyagano na msongamano waking'ang'ania chakula cha msaada nchini Zambia.
-
FAO: Chakula na kilimo viende sanjari na mabadiliko ya tabia nchi
Oct 17, 2016 00:59Hali ya hewa duniani inabadilika, hivyo uzalishaji wa chakula na kilimo lazima vibadilike pia kwenda sanjari na mabadiliko hayo.
-
Karibu robo nzima ya wananchi wa Burundi wanaishi katika mgogoro mkubwa wa chakula
Jun 13, 2016 11:07Taasisi mbalimbali za kimataifa zimetangazao kuwa, asilimia 23 ya wananchi wa Burundi wanateseka kwa lishe duni.