-
Hatua mpya katika kuzidisha kiwango cha ushirikiano kati ya Iran na Russia
Apr 26, 2025 10:50Miamala ya kibiashara kati ya Iran na Russia inazidi kuongezeka katika nyanja mbalimbali za kiuchumi hususan katika sekta ya nishati na usafirishaji.
-
Kuimarika uhusiano wa Russia na China, changamoto kubwa kwa mfumo wa Magharibi duniani
Dec 23, 2023 04:41Katika ziara yake nchini China, Waziri Mkuu wa Russia amesema kuimarishwa uhusiano wa pande mbili ni kwa manufaa ya Moscow na Beijing.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela kuhusu uhusiano wa jadi na Iran
Mar 05, 2023 08:42Ivan Khel Pinto, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na televisheni ya Al Mayadeen kwamba, uhusiano mzuri wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa muda mrefu, ni wa jadi na ni mkubwa.
-
Balozi wa Afrika Kusini akosoa vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Iran
Nov 29, 2022 03:24Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amekosoa kuendelea vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Safari ya Kamanda wa Jeshi la Anga la Iran nchini Pakistan na diplomasia ya Tehran ya ulinzi amilifu
Feb 28, 2022 11:09Jumapili ya jana tarehe 27 Februari, Brigedia Jenerali Hamid Vahedi, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliwasili katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad kwa minajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa kijeshi na kisiasa wa nchi hiyo.
-
Rais Ebrahim Raisi: Azma ya kisiasa ya Iran ni kustawisha uhusiano na mataifa rafiki
Feb 24, 2022 03:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, irada ya kisiasa ya serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ni kukuza na kustawisha ushirikiano na mataifa rafiki hususan Oman.
-
Kufichuliwa engo mpya wa ushirikiano wa Marekani na kundi la Daesh nchini Afghanistan
Jul 22, 2021 11:30Zamir Kabulov, mjumbe wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema katika mkutano wa Valdai Discussion Club kwamba: Askari wa Marekani na waitifaki wake walikuwa na mawasiliano na ushirikiano na kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan.
-
White House: Tunachunguza uwezekano wa kutekeleza vikwazo baada ya mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na China
Mar 30, 2021 07:55Msemaji wa White House ametoa radiamali yake kufuatia kusainiwa mpango wa ushirikiano wa kimkakati wa miaka 25 kati ya Iran na China.
-
Sisistizo la Russia la kushirikiana kijeshi na Iran baada ya kuondolewa vikwazo vya silaha
Oct 17, 2020 02:42Kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa vikwazo vya silaha vya Iran vinamalizika tarehe 18 mwezi huu wa Oktoba 2020 baada ya kumalizika muda wa miaka mitano wa vikwazo hivyo. Russia ikiwa mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama na moja kati ya nchi wanachama wa kundi la 4+1 imesisitiza kwamba itashirikiana kijeshi na Iran baada ya kumalizika vikwazo licha ya Marekani kufanya juhudi za kuongeza muda wa vikwazo hivyo.
-
Kuendelea ushirikiano baina ya Iran na Venezuela na shukrani za Maduro kwa Tehran
Aug 25, 2020 03:28Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake kwa nchi hiyo katika kukabiliana na vikwazo vya mafuta vya Marekani dhidi ya Venezuela na kusisitiza kuwa, uzoefu wa Iran utaweza kuisaidia nchi yake kutia nguvu uwezo wake wake wa kujitawala.