-
Utawala wa Aal Khalifa watoa hukumu ya kidhalimu dhidi ya Sheikh Salman
May 30, 2016 11:00Utawala wa Aal Khalifa umeendeleza ukandamizaji dhidi ya mapinduzi ya wananchi wa Bahrain kwa kutoa hukumu nyengine ya kidhalimu dhidi ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya al-Wifaq, Sheikh Ali Salman.
-
Hongo na ukandamizaji; silaha ya utawala wa Aal Khalifa ya kukabiliana na wapinzani Bahrain
May 22, 2016 11:49Ripoti kutoka Bahrain zinaeleza kuwa utawala wa kifalme wa ukoo wa Aal Khalifa unaendeleza siasa na sera zake za ukatili na ukandamizaji dhidi ya wapinzani na kushadidisha ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Wabahrain watano wavuliwa uraia na kuhukumiwa kifungo jela
Mar 25, 2016 21:12Mahakama moja nchini Bahrain imewahukumu vifungo vya miaka mitano hadi 15 jela wapinzani wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa.
-
Utawala wa Aal Khalifa wafanya njama za kueneza chuki dhidi ya Mashia Bahrain
Mar 07, 2016 23:42Mkuu wa masuala ya uhuru wa kidini katika shirika la kutetea haki za binadamu la Bahrain ametangaza kuwa kuwatuhumu Waislamu wa Kishia wa nchi hiyo kwa uhaini kunakofanywa na vyombo vya habari vyenye mfungamano na utawala wa Aal Khalifa sasa limekuwa ni jambo la kawaida.
-
Hali mbaya ya wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain
Feb 26, 2016 12:50Matukio yanayojiri nchini Bahrain yanaonyesha kuwa utawala wa Aal Khalifa unazidisha hatua za ukandamizaji dhidi ya wananchi kiasi kwamba kuwatia nguvuni na kuwafungulia kesi wanaharakati wa kisiasa kunazidi kuchukua sura pana zaidi inayozidi kutia wasiwasi siku baada ya siku.
-
Bahrain inakiuka haki za watoto wadogo
Feb 15, 2016 21:36Utawala wa Aal Khalifa unaendelea kukiuka haki za binadamu hususan za watoto wadogo wa nchi hiyo.