-
Yemen kuendeleza mlingano wa "kuishambulia Riyadh mkabala wa Sana'a"; yatoa onyo pia kwa US
Sep 21, 2026 10:27Mkuu wa idara ya habari ya ofisi ya rais wa Yemen amesema, serikali ya Sana'a imedhamiria kuendeleza mlingano wa "Riyadh mkabala wa Sana'a" wa kuushambulia kijeshi mji mkuu wa Saudi Arabia mkabala wa kushambuliwa mji mkuu wa nchi hiyo Sana'a na kutoa onyo pia kwa serikali ya Marekani.
-
Ansarullah: Tuhuma ya kuishambulia Makka ni 'uongo mkubwa' wa Saudia; Wayemen ndio watetezi wa kweli wa maeneo matakatifu
Sep 17, 2026 03:26Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya wananchi wa Yemen, Ansarullah, imesisitiza tena msimamo wa serikali ya Sana'a wa kukanusha vikali madai ya Saudi Arabia kwamba Jeshi la Yemen linatishia kuyashambulia maeneo matakatifu katika mji wa Makka nchini Saudia.
-
Ansarullah ya Yemen yaitaka Saudia ijiondoe kwenye gwanda na mwavuli wa Marekani na Israel
Sep 09, 2026 11:42Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeituhumu Saudi Arabia kuwa inatekeleza mipango ya Kizayuni katika eneo na kuwataka watawala wa Riyadh wajiondoe kwenye gwanda na mwavuli wa himaya ya Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Ongezeko la vifo kabla ya Hija laibua taharuki nchini Saudi Arabia
May 10, 2026 10:28Ripoti za kuongezeka vifo baina ya mahujaji waliokwenda Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Hija imezua wasiwasi na taharuki baina ya viongozi na wasimamizi wa ibada hiyo.
-
Ripoti: Riyadh inatathmini mazungumzo ya Syria, Israel kama utangulizi wa kuanzisha uhusiano na Tel Aviv
Jul 09, 2025 12:53Imedokezwa kuwa, Saudi Arabia inafuatilia mazungumzo yanayoongozwa na Marekani kati ya Israel na Syria kama hatua tarajiwa ya kufikia makubaliano ya baadaye ya kuanzisha uhusiano kati ya Riyadh na utawala wa Israel.
-
Brigedia Jenerali Salami aionya Saudia, aitaka iache kuwachochea vijana wa Iran waanzishe fujo
Oct 17, 2022 23:49Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ameionya Saudi Arabia na kuuitaka iache mchezio mchafu wa kutumia vyombo vya habari kuwachochea vijana wa Iran ili waanzishe vurugu na machafuko.
-
Iran: Saudia ni tishio linaloweza kusababisha maafa kwa usalama na amani ya eneo
Sep 28, 2019 04:41Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa radiamali kufuatia matamshhi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia dhidi ya nchi hii na kuongeza kuwa, utawala wa Aal Saud ni tishio linaloweza kusababisha maafa kwa usalama na amani ya eneo la Asia Magharibi (mashariki ya Kati).
-
Matokeo hasi ya kiuchumi ya siasa za vita za watawala wa Saudia
Jun 21, 2019 22:13Taathira hasi zinazotokana na siasa za kupenda vita za watawala wa Saudi Arabia zimeanza kuonekana wazi katika soko la hisa la nchi hiyo ya kifalme.
-
Dada yake Bin Salman kufikishwa katika mahakama ya jinai Ufaransa
Jun 13, 2019 21:56Dada yake Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatazamiwa kupandishwa kizimbani mwezi ujao wa Julai katika mahakama ya jinai nchini Ufaransa, akiandamwa na shitaka la kumuagiza mlinzi wake kumpiga mfanyakazi wa kiume mjini Paris.
-
Mwenendo wa kuongezeka hitalafu za ndani katika nchi za Kiarabu, kushindwa Saudi Arabia
Jun 07, 2019 21:45Mvutano unaoendelea kati ya Qatar na nchi nyingine nne za Kiarabu za Saudi Arabia, Bahrain, Imarati na Misri, ambao ulianza tarehe 5 Juni mwaka 2017, uliingia rasmi katika mwaka wake wa tatu hapo tarehe 5 mwezi Juni mwaka huu, katika hali ambayo hakuna dalili zozote zinazoonyesha kwamba mvutano huo utamalizika hivi karibuni.