-
Jeshi la Israel laendelea kukalia maeneo ya ardhi ya Lebanon licha ya muhula wa kuondoka kumalizika
Feb 18, 2025 13:42Muhula wa mwisho uliokuwa umetolewa kwa askari wote wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kusini mwa Lebanon chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati ya utawala huo na harakati ya Hizbullah ulimalizika leo Jumanne, huku Israel ikitangaza kuwa itaendelea kubaki katika "maeneo matano ya kimkakati" ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Ulimwengu wa Kiislamu uchukue msimamo thabiti kuiunga mkono Palestina
Feb 17, 2025 07:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekumbusha kuhusu uungaji mkono ulioonyeshwa na nchi za Kiarabu na Kiislamu kwa hatua ya maana iliyochukuliwa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC ya kukabiliana na mpango wa pamoja wa Marekani na utawala wa Kizayuni unaolenga kuifuta Palestina, na akabainisha kwamba: "Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuiunga mkono Palestina kwa msimamo thabiti."
-
AU yataka Israel ishtakiwe kwa mauaji ya kimbari ya Ghaza na kutoshirikiana wala kuanzisha uhusiano nayo
Feb 17, 2025 07:09Wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika AU wametoa wito, mwishoni mwa mkutano wa 38 wa kilele uliofanyika mjini Addis Ababa, wa kusitishwa ushirikiano na kutoanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mpango wa Trump kwa ajili ya Gaza; njama za kuifuta Palestina
Feb 12, 2025 06:40Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria upinzani mkubwa wa nchi za eneo na kimataifa dhidi ya mpango haramu wa Rais wa Marekani kuhusu Gaza na kueleza kwamba, mpango huo wa kuwahamisha kwa nguvu watu wa Palestina kutoka Gaza kwa mujibu wa mpango wa kikoloni wa "kuifuta Palestina".
-
Duru ya Kizayuni: Netanyahu anajaribu kuvuruga makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza
Feb 10, 2025 02:42Chombo kimoja cha bahari cha lugha ya Kiibrania kimetangaza kuwa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel anafanya kila awezalo kuvuruga makubaliano ya kusimamisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Wakimbizi wa Palestina waendelea kutumia eneo la Netzarim baada ya Israel kuondoka kikamilifu
Feb 09, 2025 10:41Vyombo mbalimbali vya habari vimetangaza kuwa, baada ya wanajeshi wa Israel kutoka kwenye eneo la Netzarim huko Ghaza kama yalivyosema makubaliano ya kusimamisha vita, hivi sasa wakimbizi wa Palestina wanaendelea kuvuka eneo hilo na kurejea kwenye maeneo yao.
-
Saudia yajibu kwa kauli kali matamshi ya kijuba ya Netanyahu kuhusu Palestina
Feb 09, 2025 10:39Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imepongeza upinzani wa kimataifa dhidi ya matamshi ya kijuba ya waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusiana na Ukanda wa Ghaza na imepinga hatua yoyote ya kuhamishwa Wapalestina kutoka kwenye ardhi zao.
-
Dunia yaalani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC/ Netanyahu ashukuru
Feb 08, 2025 07:58Nchi 79 duniani zimelaani vikwazo vya serikali ya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya mjini The Hague, Uholanzi.
-
HAMAS, Jihadul-Islami, Wabunge wa US wapinga na kulaani matamshi ya Trump ya kuipora Ghaza
Feb 05, 2025 06:26Matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kwamba nchi hiyo itawahamisha Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza na kulitwaa na kulimiliki eneo hilo la Palestina yamelaaniwa na kukosolewa vikali ndani na nje ya Marekani.
-
HAMAS yapongeza operesheni ya Ukingo wa Magharibi iliyoangamiza na kujeruhi askari kadhaa wa Israel
Feb 04, 2025 11:13Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imepongeza operesheni ya kulipiza kisasi iliyotekelezwa dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, ambako utawala huo ghasibu umeshadidisha hujuma na mashambulizi yake.