-
Mashirika 250 ya haki za binadamu yataka Israel ichukuliwe hatua kwa kumuua Shireen Abu Aqleh
May 13, 2022 05:20Mashirika na makundi 250 ya kutetea haki za binadamu yametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kisheria utawala haramu wa Israel kwa jinai uliyotenda ya kumuua mwandishi habari wa Televisheni ya al-Jazeera Shireen Abu Aqleh.
-
Ziyad al-Nakhalah: Adui Mzayuni anaelekea kuangamia
May 13, 2022 05:19Ziyad al-Nakhalah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema kuuwa, adui Mzayuni anaelekea kuangamia.
-
Haniya: Njia mwandishi habari Mpalestina aliyeuawa shahidi itaendelea
May 11, 2022 08:35Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameulaani vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kumuua shahidi Shireen Abu Akleh mwandishi habari Mpalestina wa Kanali Al Jazeera.
-
Jordan: Masjidul-Aqswa ni mali ya Waislamu, Israel yatakiwa kutoitahini subira ya Waislamu bilioni 2
May 09, 2022 03:00Kamati ya Palestina katika Bunge la Jordan imesisitiza kuwa, Waislamu wana mamlaka mutlaki kwa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa ulioko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Qatar: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni ukiukaji wa maazimio ya kimataifa
May 08, 2022 03:42Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imelaani vikali mpango mpya wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina.
-
Brigedi za al-Qassam: Tutatoa jibu kali kwa Israel endapo itathubutu kuua viongozi wa muqawama
May 08, 2022 00:09Msemaji wa Brigedi za al Qassam ambazo ni tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuonya utawala haramu wa Israel na hatua yoyote ya kijinga ya kuwaua viongozi wa muqawama.
-
HAMAS: Vitisho vya Wazayuni vinatokana na kuchanganyikiwa kwao
May 07, 2022 06:44Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, njama za Wazayuni za kutaka kuwaua viongoz wa harakati hiyo huko Gaza ni ishara ya wazi ya kuchanganyikiwa utawala ghasibu wa Israel baada ya operesheni ya kimuqawama ya Tel-Aviv.
-
Jihadul-Islami yataka kusitishwa mwenendo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
May 06, 2022 20:50Mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina ametoa wito wa kusitishwa mwenendo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida wa mataifa ya Kiarabu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Waungaji mkono wa muqawama nchini Jordan wataka kukatwa uhusiano wa nchi hiyo na Israel
May 06, 2022 20:49Baraza la Taifa la Kuunga Mkono Muqawama nchini Jordan limetoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kukata uhusiano wa aina yoyote ile baina yake na utawala ghasibu wa Israel.
-
HAMAS: Wazayuni wana kiwewe cha kutokea tena vita vya "Upanga wa Quds"
May 06, 2022 03:11Kiongozi mmoja wa ngazi zajuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS amesema kuwa, Wazayuni bado wana kiwewe cha uzoefu mchungu wa operesheni ya "Upanga wa Quds" na hawataki kabisa kupata uzoefu mchungu mwingine kama huo.