Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Utawala wa Kizayuni: Tumepata hasara kubwa katika operesheni ya El'ad

    Utawala wa Kizayuni: Tumepata hasara kubwa katika operesheni ya El'ad

    May 06, 2022 00:00

    Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni amekiri hasara kubwa iliyopata Israel kutokana na operesheni ya kishujaa ya wanamapambano wa Palestina katika kitongoji cha El'ad cha mashariki mwa Tel Aviv na kusema kuwa, tumepata hasara kubwa katika operesheni hiyo.

  • Hamas yautahadharisha utawala haramu wa Israel: Usicheze na moto

    Hamas yautahadharisha utawala haramu wa Israel: Usicheze na moto

    May 04, 2022 21:54

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetahadharisha kuhusu vitendo vya kichochezi vya Wazayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa na kusema vitendo hivyo ni sawa na kucheza na moto.

  • HAMAS: Operesheni ya Ari'el ni kuwazindua Wazayuni wasivuke mstari mwekundu

    HAMAS: Operesheni ya Ari'el ni kuwazindua Wazayuni wasivuke mstari mwekundu

    May 04, 2022 07:22

    Kiongozi mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa Wapalestina na kwamba Wazayuni hawapaswi kuuvuuka.

  • Mivutano inayoongezeka katika uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mivutano inayoongezeka katika uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel

    May 03, 2022 22:03

    Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika kipindi kipya na cha wasiwasi na mivutano baada ya kuanza mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kuwa pamoja na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.

  • Dakta al-Zahar: Uvamizi wa Israel hauna dosari kwa azma ya Wapalestina ya kukomboa ardhi zao

    Dakta al-Zahar: Uvamizi wa Israel hauna dosari kwa azma ya Wapalestina ya kukomboa ardhi zao

    May 02, 2022 05:36

    Mahmoud az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, kuendelea mzingiro na uvamizi wa Wazayuni katu hakutatia dosari azma ya Wapalestina ya kukomboa ardhi zao.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kupanuliwa muqawama kote Palestina

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kupanuliwa muqawama kote Palestina

    Apr 30, 2022 06:59

    Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Ijumaa alihutubu kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambapo alitaja dalili kadhaa zenye kutia matumaini kuhusu mustakbali tofauti kwa maslahi ya wananchi wa Palestina ikiwemo kupanuliwa uwanja wa mapambano katika ardhi yote ya Palestina na mkabala wake, kudhoofika utawala ghasibu wa Kizayuni na muungaji wake mkono mkuu yaani Marekani.

  • Hadi al-Amiri:  Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni hatua isiyokubalika kwa namna yoyote ile

    Hadi al-Amiri: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni hatua isiyokubalika kwa namna yoyote ile

    Apr 30, 2022 06:24

    Mkuu wa Muungano wa Fat'h nchini Iraq amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel ni hatua ambayo haikubali kwa namna yoyote ile.

  • Amir- Abdollahian: Utawala bandia wa Israel ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani

    Amir- Abdollahian: Utawala bandia wa Israel ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani

    Apr 27, 2022 22:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika makala kwamba: Utawala bandia wa Israel ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani.

  • Oman yataka ukombozi wa Palestina na kukomeshwa kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni

    Oman yataka ukombozi wa Palestina na kukomeshwa kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni

    Apr 27, 2022 22:17

    Nchi ya Oman imetaka jamii ya kimataifa itekeleze majukumu yake ya kukomesha kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni ardhi za Palestina kwa mujibu wa maazimio ya Umoja wa Mataifa.

  • OIC: Mji wa Quds na Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa Umma wa Kiislamu

    OIC: Mji wa Quds na Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa Umma wa Kiislamu

    Apr 26, 2022 03:14

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza kuwa, mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas pamoja na Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa Umma wa Kiislamu na amani na utulivu hauwezi kupatikana bila ya kukombolewa maeneo hayo matakatifu kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS