Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Israel haina uthubutu wa kutushambulia

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Israel haina uthubutu wa kutushambulia

    Apr 19, 2025 23:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "si Israel pekee ambayo haina uthubutu wa kutushambulia, lakini hata Marekani pia haikubali kubahatisha kujiingiza kwenye chokochoko hatari kama hiyo."

  • Taasisi ya Palestina: Siku ya mateka wa Palestina; nembo ya mapambano yao katika jela za Israel

    Taasisi ya Palestina: Siku ya mateka wa Palestina; nembo ya mapambano yao katika jela za Israel

    Apr 17, 2025 23:10

    Ofisi ya Habari ya serikali katika Ukanda wa Gaza imetaja tarehe 17 Aprili liyoadhimishwa jana Alhamisi ambayo imepewa jina la Siku ya Mateka wa Palestina kuwa ni inakumbusha mateso, maumivu na masaibu wanayopitia zaidi ya mateka elfu kumi wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Kizayuni.

  • Serikali ya Al-Jolani Syria kuanzisha uhusiano rasmi na Israel mwishoni mwa 2026

    Serikali ya Al-Jolani Syria kuanzisha uhusiano rasmi na Israel mwishoni mwa 2026

    Apr 16, 2025 08:02

    Mwanadiplomasia mmoja wa Uingereza amefichua kuwa kiongozi wa kundi la wanamgambo la Hay-at Tahrir al-Sham HTS Abu Mohammed al-Jolani ameihakikishia Uingereza kwamba Syria "itaanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia" na utawala wa Kizayuni wa Israel, itautambua utawala huo, na kubadilishana nao mabalozi ifikapo mwisho wa mwaka ujao wa 2026.

  • UAE imeweka mtambo wa rada wa Israel Puntland kwa ajili ya kutungua makombora ya Yemen

    UAE imeweka mtambo wa rada wa Israel Puntland kwa ajili ya kutungua makombora ya Yemen

    Apr 16, 2025 08:01

    Duru za habari zimeripoti kuwa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati imeweka mtambo wa rada wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Puntland, Somalia ili kuyanasa na kuyatungua makombora yanayorushwa na Yemen.

  • Wazayuni waendeleza mashambulizi Ukingo wa Magharibi, wamjeruhi mtoto Mpalestina

    Wazayuni waendeleza mashambulizi Ukingo wa Magharibi, wamjeruhi mtoto Mpalestina

    Apr 16, 2025 04:17

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza mashambulizi na hujuma zao za mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi na kumjeruhi kwa risasi mtoto wa kike wa Kipalestina.

  • UN: Kati ya Wasudan 3 mmoja ni mkimbizi na kati ya wakimbizi 6 duniani, mmoja ni Msudan

    UN: Kati ya Wasudan 3 mmoja ni mkimbizi na kati ya wakimbizi 6 duniani, mmoja ni Msudan

    Apr 15, 2025 22:52

    Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, Kanda ya Afrika Mashariki, Pembe ya Afrika na Maziwa Makuu, Mamadou Dian Balde amesema, mmoja kati ya Wasudan watatu kwa sasa ni wakimbizi, na mmoja kati ya watu sita waliopoteza makazi yao duniani anatoka Sudan.

  • Jinai za kinyama za Israel Ghaza hazina udhibiti, Wapalestina wengine 37 wauawa shahidi

    Jinai za kinyama za Israel Ghaza hazina udhibiti, Wapalestina wengine 37 wauawa shahidi

    Apr 14, 2025 02:42

    Mashambulio makubwa na ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo mbalimbali ya Ghaza yamewaua shahidi Wapalestina wengine wasiopungua 37.

  • Maariv: Hamas bado inadhibiti Ukanda wa Gaza

    Maariv: Hamas bado inadhibiti Ukanda wa Gaza

    Apr 10, 2025 08:09

    Vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kuwa, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kuanza vita na mshambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukanda wa Gaza, harakati ya Hamas bado inadhibiti eneo hilo na utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake.

  • Luteni Jenerali Werede atangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray, Ethiopia

    Luteni Jenerali Werede atangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray, Ethiopia

    Apr 09, 2025 03:06

    Luteni Jenerali Tadesse Werede ametangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray kuchukua nafasi ya Getachew Reda.

  • Kofi la Afrika kwa Uzayuni; Mwakilishi wa Israel afukuzwa makao makuu ya AU

    Kofi la Afrika kwa Uzayuni; Mwakilishi wa Israel afukuzwa makao makuu ya AU

    Apr 08, 2025 23:36

    Jumatatu wiki hii balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, alifukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS