-
Israel yaishurutisha Uturuki iifunge ofisi ya HAMAS ili kurejesha uhusiano kamili
Jan 19, 2021 07:56Gazeti moja la Kiebrania limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umetoa sharti kwa Uturuki la kuifunga ofisi ya HAMAS mjini Istanbul ili kuanzisha tena uhusiano kamili na nchi hiyo.
-
Waziri wa Uinzi wa Lebanon autaka utawala wa Kizayuni ukomeshe uchokozi dhidi ya nchi hiyo
Jan 19, 2021 04:32Waziri wa Ulinzi wa Lebanon ameutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ukomeshe kila aina ya uchokozi na uvamizi unaofanya dhidi ya mipaka ya anga, bahari na nchi kavu ya nchi hiyo.
-
Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zashambulia kusini mwa Ukanda wa Ghaza
Jan 18, 2021 04:49Utawala wa Kizayuni umeshambulia mikoa miwili ya Rafa na Khan- Yunis kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Lebanon yazishutumu Uturuki na Israel kuifanyia utapeli
Jan 17, 2021 09:51Wizara ya Viwanda ya Libanon imezishutumu Uturuki na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuitapeli na kuwadanganya watumiaji wa bidhaa za madola hayo katika masoko ya kigeni.
-
Israel inayahofu makombora yenye shabaha kali ya Hizbullah ya Lebanon
Jan 16, 2021 10:11Mchambuzi wa masuala ya kijeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, utawala huo umeingiwa na hofu na kiwewe kwa sababu ya makombora yenye shabaha kali ya harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Lebanon yaushtaki utawala wa Kizayuni katika Baraza la Usalama la UN
Jan 14, 2021 09:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Lebanon imewasilisha shtaka dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo kutokana na hatua ya Israel kukiuka mara kwa mara anga ya Lebanon.
-
Israel yakataa kuwapatia chanjo ya corona mateka Wapalestina inaowashikilia katika jela zake
Jan 13, 2021 23:07Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unakataa kuwapatia chanjo ya corona mateka Wapalestina unaowashikilia kwenye magereza yake.
-
Mgogoro jeshini Israel, wanajeshi elfu 10 wawekwa karantini
Jan 08, 2021 03:33Duru za utawala wa Kizayuni zimetangaza habari ya kuongezeka vibaya maambukizo ya kirusi cha corona ndani ya jeshi la utawala huo dhalimu na kusema kuwa maelfu ya wanajeshi wa Israel wamewekwa kwenye karantini hivi sasa.
-
Makumi ya Wapalestina wajeruhiwa na wanajeshi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Jan 04, 2021 23:47Vyombo vya habari vimearifu kuwa makumi ya raia wa Palestina wamejeruhiwa katika shambulio la wanajeshi wa utawala wa Kizayuni huko kusini mwa Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu: Haijuzu kufanya miamala yoyote na Israel
Jan 03, 2021 10:05Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imetoa fatua ya kuususia kikamilifu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kutangaza kwamba, haijuzu kuuuzia wala kununua chochote kinachozalishwa na utawala huo mpaka utakapokomesha ukaliaji wake ardhi kwa mabavu.