Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Watalii kutoka Israel waingiza kimagendo madawa ya kulevya nchini Imarati

    Watalii kutoka Israel waingiza kimagendo madawa ya kulevya nchini Imarati

    Jan 03, 2021 09:59

    Baadhi ya vyombo vya habari vya Kiebrania vimetangaza kuwa, watalii kutoka Israel wanaoelekea Umoja wa Falme za Kiarabu wanaingiza kimagendo madawa ya kulevya katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Waziri wa Ulinzi wa Yemen atahadharisha juu ya uwepo wa wanajeshi wa Kizayuni katika maeneo yaliyovamiwa

    Waziri wa Ulinzi wa Yemen atahadharisha juu ya uwepo wa wanajeshi wa Kizayuni katika maeneo yaliyovamiwa

    Jan 03, 2021 03:21

    Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wapo katika vituo vya kijasusi katika maeneo yaliyokaliwa kwa mabavu na muungano vamizi huko Yemen unaaongozwa na Saudi Arabia.

  • Hajj Qassem Soleimani; mhimimili wa muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Hajj Qassem Soleimani; mhimimili wa muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Jan 02, 2021 04:38

    Alfajiri Januari Tatu unatimia mwaka wa kwanza wa kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Hajj Qassem Suleimani. Mhimili wa muqawama unakumbushia shahid huyo mkubwa na utawala wa Kizayuni pia umefurahishwa kwa kuuliwa kamanda huyo wa muqawama. Swali muhimu hapa ni hili kuwa Kamanda Suleimani alitoa huduma gani kwa muqawama ambayo imeughadhibisha utawala wa Kizayuni?

  • Watoto 170 wa Palestina wamefungwa jela huko Israel mwaka 2020

    Watoto 170 wa Palestina wamefungwa jela huko Israel mwaka 2020

    Jan 01, 2021 09:51

    Kamati ya Masuala ya Matekani wa Palestina imetangaza kuwa, watoto 170 wa Kipalestina walifungwa katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel mwaka 2020.

  • Jumuiya ya Maulama wa Kiislamu: Ni haramu kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Jumuiya ya Maulama wa Kiislamu: Ni haramu kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Dec 28, 2020 08:51

    Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa Waislamu amesema kuwa, viongozi wanaotaka mapatano wameanzisha uhusiano wa kawaida na Israel kwa sababu ya woga, tamaa na kwa ajili ya kulinda maslahi yao pamoja na tawala zao, hatua ambayo ni haramy na batili.

  • Kupitishwa maazimio 17 ya Baraza la Kuu la UN dhidi ya Israel katika mwaka 2020

    Kupitishwa maazimio 17 ya Baraza la Kuu la UN dhidi ya Israel katika mwaka 2020

    Dec 26, 2020 23:02

    Utawala wa Kizayuni ni utawala pekee uliolaaniwa na Umoja wa Mataifa mara tatu zaidi ya nchi nyingine zote duniani katika mwaka huu wa 2020. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha jumla ya maazimio 17 dhidi ya Israel katika mwaka huu wa 2020.

  • Syria yataka Baraza la Usalama lizuie hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Syria yataka Baraza la Usalama lizuie hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 26, 2020 03:52

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema imekosoa uungaji mkono wa baadhi ya wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel na imetaka baraza hilo lichukue hatua za kivitendo kuzuia hujuma hizo za utawala wa Kizayuni.

  • Dubai imegeuzwa kitovu cha maovu na ufuska kwa ajili ya watalii kutoka Israel

    Dubai imegeuzwa kitovu cha maovu na ufuska kwa ajili ya watalii kutoka Israel

    Dec 22, 2020 09:32

    Duru za habari za lugha ya Kiebrania zimeripoti kuwa, Dubai imegeuzwa mji wa kufanyia maovu na ufuska na kuwafanya wazayuni wawe na hamu kubwa ya kuutembelea.

  •  Saudia yabadilisha vitabu vya masomo ili kuuridhisha utawala wa Kizayuni

    Saudia yabadilisha vitabu vya masomo ili kuuridhisha utawala wa Kizayuni

    Dec 20, 2020 23:29

    Duru za habari zimearifu kuwa, Saudi Arabia imebadilisha vitabu vya masomo ya wanafunzi wa shule nchini humo kulingana na matakwa ya utawala haramu wa Kizayuni.

  • Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni

    Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni

    Dec 12, 2020 08:06

    Rais Donald Trump wa Marekani juzi Alhamisi alituma ujumbe katika ukurasa wake wa twitter na kueleza kuwa Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS