-
Hizbullah ya Lebanon yalaani kuanzishwa uhusiano wa Israel na Morocco
Dec 12, 2020 04:22Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali 'mapatano' ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Morocco na utawala haramu wa Israel.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu yalaani hatua ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 11, 2020 23:29Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imelaani vikali hatua ya nchi ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Wazayuni waendelea kuchimba mashimo na kubomoa Msikiti wa Al-Aqswa
Dec 11, 2020 23:29Wazayuni wamekithirisha njama zao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa kwa kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea KATIKA msikiti huo mtakatifu ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Shirika la ndege la Bahrain latiliana saini mikataba mitano na Israel
Dec 10, 2020 23:25Shirika la ndege la ukoo wa kifalme wa Aal Khalifa nchini Bahrain, umetia saini mikataba mitano na mashirika na taasisi mbalimbali za utawala wa Kizayuni wa Israel ambao mikono yake imejaa damu za wananchi madhlumu wa Palestina.
-
Massoud Shajareh: upo ulazima wa kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni katika eneo
Dec 05, 2020 23:14Mwenyekiti wa Kamisheni ya Kimataifa ya Haki za Binadamu za Kiislamu (IHRC) yenye makao yake London nchini Uingereza amesisitiza juu ya ulazima wa kukabiliana na njama za utawala haramu za Kizayuni katika eneo ikiwemo kusitisha mapatano na utawala huo.
-
Saudia: Ni ndoto yetu ya muda mrefu kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 05, 2020 09:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameeleza bayana kuwa kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ni sehemu ya ndoto ya muda mrefu ya kisiasa ambayo wamekuwa nayo viongozi wa utawala wa Aal Saud.
-
HAMAS yalaani msimamo wa waziri wa Biashara wa Bahrain dhidi ya Palestina
Dec 04, 2020 04:13Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani matamshi aliyotoa waziri wa biashara, viwanda na utalii wa Bahrain kuhusu azma ya nchi yake ya kununua bidhaa zinazozalishwa katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kwenye Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Utawala wa Kizayuni na mkakati wa kubadili muundo wa kijamii katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu
Dec 04, 2020 01:02Ikiwa ni katika jitihada za kubadili muundo wa kijamii huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu; viongozi wa utawala wa Kizayuni wametangaza kuwa mamia ya wahajiri wa Kiyahudi wenye asili ya Ethiopia jana Alhamisi wamewasili Tel Aviv.
-
Iran yataka Baraza la Usalama la UN lichunguze mauaji ya Fakhrizadeh
Nov 29, 2020 08:50Naibu Waziri wa Sheria wa Iran ametoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchunguza mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh.
-
Kushadidi mizozo na hitilafu katika Baraza la Mawaziri la utawala haramu wa Israel
Nov 27, 2020 06:47Hitilafu na mizozo ndani ya Baraza la Mawaziri la utawala haramu wa Israel zingali zinaongezeka na zinaonekana kuchukua mkondo mpya.