-
Televisheni nyingine ya Israel nayo yaifanyia istihzai na kejeli Imarati
Nov 27, 2020 03:22Kanali moja ya televisheni ya utawala wa Kizayuni imerusha hewani mchezo wa kuigiza wa vichekesho ambao unaukejeli na kuufanyia istihzai Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati.
-
Serikali ya Sudan: Hatukuwa na taarifa kuhusu safari ya ujumbe wa Kizayuni Khartoum
Nov 26, 2020 01:19Msemaji wa serikali ya Sudan amedai kuwa baraza la mawaziri la nchi hiyo halina taarifa kuhusu safari ya ujumbe wa Kizayuni huko Khartoum mji mkuu wa Sudan.
-
Kambi ya kukabiliana na usaliti wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel yaasisiwa Lebanon
Nov 22, 2020 08:59Shakhsia kadhaa wa Kiislamu, kisiasa na wa vyombo vya habari nchini Lebanon wametangaza kuwa wameanzisha kambi ya kukabiliana na hatua ya kihaini ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Utayari wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wa kuzungumza na kushirikiana na Israel
Nov 20, 2020 23:04Mohammad Shtayyeh, Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa mamlaka hiyo uko tayari kuanzisha tena mazungumzo na ushirikiano wa masuala ya usalama na utawala haramu wa Israel.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni ujiunge haraka na mkataba wa nyuklia wa NPT
Nov 20, 2020 09:08Mjumbe na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika taasisi za kimataifa zenye makao yao mjini Vienna, Austria ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ujiunge haraka na Mkataba za Kuzuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Nyuklia NPT, tena bila ya masharti yoyote.
-
Madai ya Pompeo dhidi ya harakati ya kuususia utawala wa Israel BDS, na radiamali yake
Nov 20, 2020 05:36Marekani ambaye ni muungaji mkono mkubwa wa Utawala haramu wa Israel, si tu kwamba imeuhudumia pakubwa utawala huo katika kipindi cha utawala Rais Donald Trump, bali inaendelea kufanya juhudi za kudhoofisha na kuyawekea vikwazo na mashinikizo makundi na harakati ambazo zinaonekana kuwa dhidi ya siasa za ukandamizaji na jinai za utawala huo wa kibaguzi.
-
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Israel ni dola vamizi
Nov 19, 2020 02:50Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio linaloutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni dola vamizi na ghasibu.
-
Huduma kubwa ya Trump kwa Wazayuni; kuongezeka mara mbili na nusu ujenzi haramu wa vitongoji katika kipindi cha miaka minne
Nov 12, 2020 03:56Kundi linalojulikana kwa jina la "Amani Sasa" lililoko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel limetangaza kuwa, ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka minne ya urais wa Donald Trump nchini Marekani umeongezeka mara mbili na nusu.
-
Ujenzi haramu wa vitongoji Palestina umeongezeka maradufu katika utawala wa Trump
Nov 11, 2020 00:43Kundi liitwalo "Amani Sasa" lililoko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la Israel limetangaza kuwa, ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka minne ya urais wa Donald Trump nchini Marekani umeongezeka maradufu.
-
OIC yalaani bomoa bomoa ya nyumba za raia wa Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Nov 10, 2020 06:16Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa ikilaani uhalifu unaoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel wa kubomoa nyumba na taasisi za Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.