-
Idadi ya waathirika wa Corona yaongezeka ndani ya Israel
Mar 25, 2020 07:46Idadi ya waathirika wa virusi vya Corona kati ya Wazayuni, imefikia 1930 baada ya kusajiliwa kesi mpya 488.
-
Corona yazidi kuutesa utawala wa Kizayuni, maeneo yote ya biashara kufungwa kwa wiki tano
Mar 15, 2020 03:15Maambukizi ya kirusi cha corona ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni makubwa kiasi kwamba wakuu wa utawala huo pandikizi wamefikia uamuzi wa kufunga maeneo yote ya biashara kwa muda wa wiki tano.
-
Palestina yaionya Israel dhidi ya kutumia vibaya suala la virusi vya Corona
Mar 11, 2020 08:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imewatahadharisha Wazayuni kutotumia vibaya suala la virusi vya Corona kuzishughulisha fikra za walimwengu ili wapate fursa ya kupora ardhi zilizosalia za Palestina.
-
Zaidi ya wanajeshi elfu moja (1000) wa Israel wawekwa chini ya karantini kwa corona
Mar 09, 2020 04:30Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi 1040 wa utawala huo ghasibu wamewekwa chini ya karantini kutokana na virusi vya corona.
-
Viongozi wa Israel wapatwa na wahka kutokana na kuenea virusi vya Corona kuelekea uchaguzi wa bunge
Mar 01, 2020 10:24Viongozi wa utawala pandikizi wa Israel wamepatwa na wahka mkubwa kutokana na kuenea kwa virusi vya Corona kuelekea uchaguzi wa bunge ndani ya utawala huo.
-
Utawala wa Kizayuni watishia kuwaua kigaidi viongozi wa Palestina huko Ukanda wa Ghaza
Feb 25, 2020 10:02Viongozi wa utawala wa Kizayuni wametishia kuwaua kigaidi viongozi wa Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina za Hamas na Jihadul Islami huko Ukanda wa Ghaza.
-
Al Zahar: Jinai za Israel ni matunda ya kuanzishwa uhusiano baina yake na nchi za Kiarabu
Feb 24, 2020 21:51Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, jinai unazofanya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina ni matunda ya hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia.
-
Mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina, matunda ya mwanzo ya "Muamala wa Karne"
Feb 24, 2020 08:52Ikiwa haujapita mwezi mmoja sasa tangu Rais Donald Trump wa Marekani alipozindua rasmi mpango uliopewa jina la "Muamala wa Karne", utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha duru mpya ya vita na mashambulizi dhidi ya makundi na harakati za kupigania ukombozi za Palestina.
-
Sanders asusia mkutano wa loby ya Wayahudi wa Marekani, AIPAC
Feb 24, 2020 03:57Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani anayeongoza katika mbio za kuwakilisha chama cha Democratic katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo ametangaza kuwa hatashiriki katika mkutano wa kila mwaka wa lobi na kundi la mashinikizo la Wayahudi wa Marekani, "AIPAC.
-
Kuhani mmoja Myahudi-Mzayuni akutana na mfalme wa Saudi Arabia
Feb 22, 2020 03:56Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa, kuhani mmoja Mzayuni ameonana na mfalme wa Saudi Arabia mjini Riyadh.