-
HAMAS: Kujiuzulu maafisa wa kijeshi wa Israel ni ishara ya nguvu ya muqawama
Jul 06, 2019 03:45Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kujiuzulu mkuu wa kitengo cha operesheni cha Shirika la Kiintelijensia la Israel ni jambo linalobainisha juu ya kuchanganyikiwa adui Mzayuni na kuweka wazi nguvu kubwa ya muqawama wa Palestina.
-
HAMAS: Vitisho vya Netanyahu vinatuzidishia azma na irada ya muqawama
Jul 05, 2019 08:20Mjumbe mmoja wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu Palestina (HAMAS) amesema kuwa, vitisho vya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni vinauzidishia muqawama azma na irada ya kuendelea mbele na njia yake tukufu.
-
Hatimaye utawala wa Kizayuni wasalimu amri mbele vishada vya moto vya Wapalestina
Jun 29, 2019 02:43Hatimaye utawala haramu wa Kizayuni umekubali masharti ya makundi ya muqawama ya Palestina kwa ajili ya kusimamisha kutumwa vishada vya moto kwenye vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Jamii ya Mayahudi nchini Marekani yaandamana kupinga siasa za utawala haramu wa Israel
Jun 27, 2019 06:51Wanaharakati wa kiraia wa jamii ya Mayahudi wa Orthodox wanaoishi nchini Marekani wamefanya maandamano kupinga siasa za utawala haramu wa Kizayuni katika kuwalazimisha wanawake kwenda kujiunga na jeshi.
-
Hamas yataka Wapalestina wawe wabunifu katika kupambana na Wazayuni
Jun 14, 2019 02:09Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeitaka serikali na wananchi wa Palestina kuwa na ubunifu wa kitaifa katika kukabiliana na siasa za kibeberu za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kituo cha nyuklia cha Israel kimekiri kuvujisha mada za radioactive
Jun 12, 2019 21:33Kituo cha nyuklia cha Demona kwa mara ya kwanza kimekiri kuwa kwa miaka kadhaa kimekuwa kikivujisha mada za radiocative.
-
Ufaransa yakosoa mpango wa 'Muamala wa Karne'
Jun 11, 2019 00:51Licha ya juhudi kuibwa zinazofanywa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kufanikisha mpango wa 'Muamala wa Karne' ambao unalenga kudhamini maslahi ya utawala haramu wa Israel kwa madhara ya Wapalestina, lakini washirika wa Ulaya wa Washington ikiwemo Ufaransa, wanaendelea kuukosoa mpango huo.
-
Pompeo akiri kutotekelezeka mpango wa 'Muamala wa Karne'
Jun 04, 2019 02:42Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kutekeleza mpango wa 'Muamala wa Karne' ambao unalenga kudhamini maslahi ya utawala haramu wa Israel kwa madhara ya Wapalestina, lakini hata Mike Pompeo mwenyewe, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo hana matumaini ya kutekelezwa mpango huo.
-
Juhudi za Saudi Arabia za kufunika na kupuuza malengo ya Palestia ni kosa la kistratijia
May 31, 2019 03:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba juhudi zinazofanywa na utawala wa Saudi Arabia na baadhi ya nchi za Kiarabu za Asia Magharibi kwa ajili ya kufunika na kupuuza malengo matukufu ya taifa la Palestina ni kosa kubwa la kistratijia.
-
Utawala wa Kizayuni unazuia kutumwa Ghaza misaada ya kibinadamu kwa ajili ya raia Palestina
May 27, 2019 09:02Msemaji wa Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa UNRWA amesema kuwa Ukanda wa Ghaza ni eneo gumu zaidi kugawa misaada ya kibinadamu kutokana na eneo hilo kuzingrwa kwa pande zote na utawala wa Israel.