-
Kufungwa UNRWA; takwa jipya la Marekani dhidi ya Palestina
May 24, 2019 00:11Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia katika ikulu ya nchi hiyo White House, alichukua msimamo wa kuiunga mkono Israel bila ya masharti yoyote na wakati huo huo kudhihirisha uhasama wa waziwazi dhidi ya Wapalestina.
-
HAMAS: Uamuzi wa Iran kuhusu JCPOA ni wa kishujaa
May 10, 2019 21:48Mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) nchini Lebanon amesema kuwa, hatua ya Iran ya kusitisha kwa muda utekelezaji wa ahadi zake katika baadhi ya vipengee vya mapatano ya nyuklia ya JCPOA, inaonyesha kuwa ni maamuzi ya kishujaa.
-
Utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita kati yake na Palestina
May 06, 2019 09:02Duru za habari za Palestina zimetangaza kuwa utawala wa Kizayuni hatimaye umekubali kusimamisha vita ulivyovianzisha huko Ukanda wa Ghaza kutokana na mashinikizo ya fikra za walimwengu kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Kuwait yataka Israel itimuliwe katika Jumuiya ya Mabunge
May 04, 2019 10:31Spika wa Bunge la Kuwait amesisitiza juu ya kuendelezwa juhudi za kutimuliwa utawala haramu wa Israel kutoka katika Jumuiya ya Mabunge kutokana na jinai zake unazozitenda.
-
Jenerali Mzayuni akiri nguvu za makombora za HAMAS huko Palestina
Apr 29, 2019 23:42Jenerali mmoja Mzayuni amekiri kuwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ina nguvu kubwa za makombora ambazo zinaweza kusambaratisha maisha ya wakazi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kiongozi Muadhamu: Baadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu ni vibaraka wa Marekani na Wazayuni
Apr 15, 2019 10:13Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu hawafanyii kazi maamrisho ya Qur'ani na ni vibaraka wa Marekani na Wazayuni.
-
Mashinikizo ya wananchi yawalazimisha Wazayuni kuvunja safari ya kwenda Bahrain
Apr 14, 2019 12:22Ujumbe wa kibiashara na kisiasa wa utawala wa Kizayuni uliokuwa umepanga kwenda mjini Manama, Bahrain kushiriki katika mkutano wa kimataifa wa kiuchumi umelazimika kuvunja safari hiyo kutokana na upinzani mkali wa wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hizbullah: Muqawama ni tishio kubwa kwa adui Mzayuni
Apr 05, 2019 01:57Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, nguvu na uwezo wa muqawama ni tishio kubwa kwa adui Mzayuni.
-
Sisitizo la Mogherini la kupinga EU umiliki wa Israel wa milima ya Golan ya Syria
Mar 31, 2019 22:21Ikiwa ni katika kuendelea kujikomba kwa lobi za Kizayuni, rais wa Marekani Donald Trump, tarehe 25 Machi, 2019 alitambua rasmi kumilikiwa na Israel milima ya Golan ya Syria.
-
Jihadul Islami yawaonya Wazayuni wasithubutu kushambulia Ghaza
Mar 25, 2019 09:05Katibu Mkuu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel usithubutu kufanya shambulio lolote dhidi ya Ukanda wa Ghaza.