Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Vyama vya siasa Sudan vyapinga kuwepo uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Vyama vya siasa Sudan vyapinga kuwepo uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Nov 26, 2018 01:03

    Vyama vya siasa nchini Sudan vimetoa wito wa kupambana na hatua zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu za kutaka kuanzishwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kamanda wa utawala wa Kizayuni akiri Waziri wa Vita wa zamani kukutana na magaidi wa Syria

    Kamanda wa utawala wa Kizayuni akiri Waziri wa Vita wa zamani kukutana na magaidi wa Syria

    Nov 24, 2018 10:52

    Kamanda mmoja wa utawala haramu wa Kizayuni, amefichua kwamba Moshe Ya'alon, Waziri wa zamani wa Vita wa Utawala huo alikutana na magaidi wanaopinga serikali ya Syria.

  • HAMAS: Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ugaidi wa kimataifa

    HAMAS: Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ugaidi wa kimataifa

    Nov 20, 2018 11:57

    Mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS nchini Lebanon amesema, Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuongoza ugaidi wa kimataifa na dhulma dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Baraza Kuu la UN lapasisha maazimio 9 dhidi ya Israel

    Baraza Kuu la UN lapasisha maazimio 9 dhidi ya Israel

    Nov 17, 2018 03:30

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha maazimio 9 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kutangaza upinzani wake dhidi ya siasa na hatua zinazochukuliwa na utawala huo.

  • Ismail Haniya: Muqawama wa Palestina umevuruga mahesabu yote ya adui Mzayuni

    Ismail Haniya: Muqawama wa Palestina umevuruga mahesabu yote ya adui Mzayuni

    Nov 15, 2018 00:01

    Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: Muqawama wa Palestina umevuruga mahesabu ya adui na kubadilisha mlingano wa nguvu.

  • Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran watazishinda siasa za ubabe na utumiaji mabavu

    Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran watazishinda siasa za ubabe na utumiaji mabavu

    Nov 11, 2018 04:21

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran wataushinda ubabe na utumiaji mabavu kutoka upande wowote ule, na historia ni ushahidi wa wazi wa utamaduni na mwenendo huu wa Wairani.

  • Wapalestina milioni tatu walizuiwa kufanya ibada ya Hija kupitia ushirikiano wa Israel na Saudia

    Wapalestina milioni tatu walizuiwa kufanya ibada ya Hija kupitia ushirikiano wa Israel na Saudia

    Nov 10, 2018 04:39

    Ikiwa ni katika hatua yake ya kupata ridhaa ya utawala haramu wa Kizayuni, utawala wa Saudi Arabia uliwanyima Wapalestina milioni tatu vibali vya kuingia nchi hiyo kwa ajili ya kufanya ibada ya Hija.

  • Wajordan waandamana kulaani makubaliano ya gesi na utawala haramu wa Kizayuni

    Wajordan waandamana kulaani makubaliano ya gesi na utawala haramu wa Kizayuni

    Nov 10, 2018 04:11

    Raia wa Jordan wamefanya maandamano wakitaka kusitishwa makubaliano yaliyotiwa saini kati ya nchi yao na utawala haramu wa Kizayuni kuhusiana na kuagizwa gesi kutoka utawala huo.

  • Pasipoti za utawala wa Kizayuni kutumiwa katika safari ya kuendea Saudi Arabia

    Pasipoti za utawala wa Kizayuni kutumiwa katika safari ya kuendea Saudi Arabia

    Nov 09, 2018 11:04

    Mtandao mmoja wa habari wa utawala haramu wa Kizayuni umeandika kwamba, hivi karibuni Wazayuni watatumia pasipoti za utawala wa Israel katika safari zao nchini Saudi Arabia.

  • Rais wa Lebanon: Madai ya Israel kuwa makombora yamehifadhiwa katika maeneo ya makazi, ni uongo

    Rais wa Lebanon: Madai ya Israel kuwa makombora yamehifadhiwa katika maeneo ya makazi, ni uongo

    Nov 06, 2018 01:06

    Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema kuwa, madai ya utawala haramu wa Kizayuni juu ya kufichwa na wanamuqawama makombora katika maeneo ya makazi, ni uongo mtupu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS