-
Hamas: Kuanzisha uhusiano na Wazayuni ni kupuuza damu za mashahidi wa Palestina
Nov 04, 2018 23:00Mwanachama wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa kuanzisha uhusiano na adui Mzayuni ni kupuuza damu za mashahidi wa Palestina.
-
Bin Salman akutana na Wakristo wanaounga mkono utawala haramu wa Kizayuni
Nov 03, 2018 04:30Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia, amekutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa tume ya Kimarekani inayounga mkono utawala haramu wa Kizayuni, ambao walikuwa wamefanya safari nchini Saudia.
-
Baraza la Fatwa la Oman lasisitiza: Haijuzu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 03, 2018 00:31Baraza la Fatwa la Oman limesisitiza kuwa haijuzu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. Baraza hilo limetoa sisitizo hilo likiwa ni jibu na radiamali kwa safari iliyofanywa hivi karibuni na Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu huko nchini Oman.
-
Siasa zisizo na mantiki za Oman, Muscat yafuata mkumbo na kusombwa na njama ya "Muamala wa Karne"
Nov 02, 2018 02:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas huko Ramallah katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.
-
Wapalestina zaidi 300 wameuliwa shahidi tangu Quds itangazwe kuwa mji mkuu wa Israel
Nov 01, 2018 12:51Kituo cha Palestina cha Quds cha taaluma za masuala ya Kizayuni kimetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 300 wameuliwa shahidi na askari wa Israel tangu Baitul Muqaddas itangazwe kuwa mji mkuu wa utawala huo wa Kizayuni.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa
Oct 31, 2018 04:46Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Hamas yalaani kitendo cha Imarati cha kumkaribisha Abu Dhabi, waziri Mzayuni
Oct 30, 2018 01:11Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kitendo cha Umoja wa Falme za Kiarabu cha kumkaribisha mjini Abu Dhabi waziri wa utawala wa Kizayuni ambao kila leo unawaua shahidi wananchi wasio na hatia wa Palestina ni kitendo cha aibu.
-
Wazayuni wangali wana kiwewe na uwezo wa makombora ya Hizbullah ya Lebanon
Oct 29, 2018 01:07Jenerali wa zamani wa jeshi la utawala haramu wa Israel amesema kuwa, Hizbullah ya Lebanon ni kundi lenye uratibu na lililojipanga na kuongeza kuwa, maelfu ya makombora ya Hizbullah yenye umakini wa hali ya juu yanaweza kulenga eneo lolote katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavuu (Israel)
-
Wabunge wa Kuwait wapinga nchi yao kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel
Oct 29, 2018 01:06Wawakilishi wa Bunge la Kuwait wamepinga vikali hatua yoyote ya nchi yao ya kutaka kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Waqatari wapinga kuhuishwa uhusiano na utawala wa Kizayuni
Oct 28, 2018 04:43Makundi mbalimbali ya wananchi wa Qatar yametangaza kuwa yanapinga kuhuishwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel sambamba na kushuhudiwa harakati za baadhi ya nchi za Kiarabu za kutaka kuhuisha uhusiano na utawala huo wa Kizayuni.