Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Wazayuni wa Israel washambulia Msikiti wa al Aqsa, wauvunjia heshima

    Wazayuni wa Israel washambulia Msikiti wa al Aqsa, wauvunjia heshima

    Oct 24, 2018 13:02

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameshambulia na kuvunjia heshima Msikiti mtukufu wa al Aqsa na kibla cha kwanza cha Waislamu wote duniani.

  • Licha ya kujipendekeza sana kwa Israel, Wazayuni watishia kuikatia maji Jordan

    Licha ya kujipendekeza sana kwa Israel, Wazayuni watishia kuikatia maji Jordan

    Oct 23, 2018 03:22

    Waziri wa Kilimo wa utawala wa Kizayuni wa Israel usiku wa kuamkia leo ametishia kuwa, kama Jordan itataka kurejeshewa maeneo yake ya al Baqura na al Ghamr, basi Tel Aviv itaikatia maji Amman, mji mkuu wa Jordan.

  • Waziri Mzayuni ataka kubomolewa nyumba za viongozi wa HAMAS

    Waziri Mzayuni ataka kubomolewa nyumba za viongozi wa HAMAS

    Oct 21, 2018 04:13

    Yisrael Katz, Waziri wa Usafiri wa utawala haramu wa Israel ametoa wito wa kubomolewa nyumba za viongozi wa Harakati ya Mapambano ya kiislamu ya Palestina (HAMAS).

  • Mjukuu wa Mandela: Utawala kandamizi wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa ubaguzi wa rangi

    Mjukuu wa Mandela: Utawala kandamizi wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa ubaguzi wa rangi

    Oct 12, 2018 13:42

    Mjukuu wa shujaa wa uhuru wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela amefananisha mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya waandamanaji wa Palestina huko katika Ukanda wa Gaza na mauaji yaliyofanywa na utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini katika eneo la Sharpeville mwaka 1960 na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa apartheid.

  • Iran yatoa onyo kali kwa watawala mafashisti wa Israel

    Iran yatoa onyo kali kwa watawala mafashisti wa Israel

    Oct 06, 2018 04:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amewatahadharisha viongozi wabaguzi, maghururi na wasio na mantiki wala adabu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu athari mbaya za lugha yao chafu, isiyo na mantili na vilevile fikra zao kuhusiana na taifa kubwa la Iran.

  •  Gebran Bassil: Israel ndio mtendaji wa ugaidi wa kiserikali katika Mashariki ya Kati

    Gebran Bassil: Israel ndio mtendaji wa ugaidi wa kiserikali katika Mashariki ya Kati

    Oct 01, 2018 23:41

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon amesema kuwa, utawala haramu wa Israel ndio mtendaji wa ugaidi wa kiserikali katika eneo la Mashariki ya Kati lakini umekuwa ukizituhumu nchi nyingine.

  • Zaidi ya Wapalestin 200 wameuawa shahidi tangu kuanza maandamano ya 'Haki ya Kurejea'

    Zaidi ya Wapalestin 200 wameuawa shahidi tangu kuanza maandamano ya 'Haki ya Kurejea'

    Oct 01, 2018 11:21

    Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, zaidi ya Wapalestina 200 wameuawa shahidi na wengine zaidi ya 21,000 kujeruhiwa tangu yalipoanza maandamano ya 'Haki ya Kurejea' Machi mwaka huu.

  • Ibrahim al-Jaafari: Madai ya Netanyahu juu ya uwepo wa askari wa Iran nchini Iraq ni uongo mtupu + Video

    Ibrahim al-Jaafari: Madai ya Netanyahu juu ya uwepo wa askari wa Iran nchini Iraq ni uongo mtupu + Video

    Sep 29, 2018 11:43

    Ibrahim al-Jaafari, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametupilia mbali madai yasiyo na msingi wowote ya Waziri Mkuu wa utawala Haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu juu ya uwepo wa askari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Iraq na kuongeza kuwa, maneno hayo ni uongo mtupu.

  • Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jinamizi la mfumo wa makombora wa ulinzi wa anga wa S-300 linainyemelea Israel

    Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jinamizi la mfumo wa makombora wa ulinzi wa anga wa S-300 linainyemelea Israel

    Sep 26, 2018 00:36

    Vyombo vya habari vya Israel vimesema uamuzi wa serikali ya Russia wa kulipatia jeshi la Syria mfumo wa makombora ya ulinzi wa anga wa S-300 ni jinamizi kwa utawala huo wa Kizayuni.

  • Utawala wa Kizayuni watoa muhula wa mwisho kwa wakazi wa kijiji cha Khan al Ahmar; wawataka waondoke kijijini hapo

    Utawala wa Kizayuni watoa muhula wa mwisho kwa wakazi wa kijiji cha Khan al Ahmar; wawataka waondoke kijijini hapo

    Sep 23, 2018 23:28

    Utawala wa Kizayuni umewapa wakazi wa kijiji cha Khan al Ahmar katika mji wa Quds muda wa siku saba wawe wameondoka kijijini hapo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS