-
HAMAS: Matamshi ya Mahmoud Abbas yanabainisha mtazamo wake binafsi
Sep 22, 2018 13:14Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuhusu matamshi aliyotoa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuwa tayari kufanya mazungumzo na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kwamba matamshi hayo yanaakisi mtazamo wake binafsi, wala hayawakilishi maoni ya wananchi wa Palestina.
-
Jordan yataka Israel ijiunge na mkataba wa NPT
Sep 21, 2018 23:34Dakta Khalid Toukan Mkuu wa Kamisheni ya Nishati ya Nyuklia ya Jordan ametaka utawala wa Kizayuni wa Israel ujiunge na mkataba unaopiga marufuku uenezaji na usambazaji wa silaha za nyuklia (NPT).
-
Hamas yaionya Israel isiendelee kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Sep 13, 2018 23:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel juu ya hatari ya kuendelea kuuvinjia heshima Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu na kusisitiza kuwa utawala huo dhalimu ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea.
-
Woga wa Jeshi la Israel kuhusu uwezo wa makombora wa Hizbullah ya Lebanon
Sep 11, 2018 20:49Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa uwezo wa makombora wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon na nguvu yake ya kulenga kwa mapana katika maeneo mbalimbali ya Israel ni tishio kubwa sana.
-
Mkuu wa zamani wa Mossad akiri Israel haiwezi kukabiliana na teknolojia ya makombora ya Hizbullah
Sep 08, 2018 21:51Naibu Mkuu wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad, amesema Harakati ya Hizbullah ya Lebanon hivi karibuni imepata mfumo mpya wa kuongoza makombora kwa kutegemea mfumo wa GPS na hivyo kubadilisha makombora yake kuwa yenye ustadi mkubwa.
-
Rais Rouhani: Iran haina adui yeyote zaidi ya Marekani, Israel na vibaraka wao
Sep 08, 2018 03:45Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kubainisha kwamba, hii leo Iran haina adui mwengine yeyote isipokuwa Marekani, utawala wa Kizayuni na vibaraka wao, amesisitiza kwamba, taifa la Iran litawashinda maadui kwa mshikamano na umoja.
-
Haniya: HAMAS katu haitautambua utawala wa Kizayuni
Sep 06, 2018 10:00Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema Ukanda wa Gaza umeingia kwenye vita kamili vya kiusalama na kijeshi na shirika la intelijensia na usalama wa ndani la utawala wa Kizayuni Shabak.
-
Hizbullah: Kukombolewa Idlib kutapiku turufu ya mwisho ya Marekani, Israel na Saudia nchini Syria
Sep 03, 2018 03:24Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, kukombolewa mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria ambayo ni ngome ya mwisho ya magaidi katika nchi hiyo litakuwa pigo kubwa kwa Magharibi, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia.
-
Gazeti la Haaretz: Israel inashiriki katika mauaji ya Waislamu Warohingya
Aug 31, 2018 23:39Gazeti la Haaretz la Israel limefichua kuwa, utawala haramu wa Israel umetiliana saini mikataba ya uuzaji silaha na serikali ya Myanmar na kwamba, umekuwa ukishiriki katika mauaji dhidi ya Waislamuu Warohingya katika jimbo la Rakhine.
-
Waingereza wapinga ushawishi wa lobi za Wazayuni katika siasa za London
Aug 27, 2018 23:01Zaidi ya Waingereza elfu kumi wamesaini waraka wakionesha upinzani wao dhidi ya lobi na makundi ya ushawishi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika siasa za nchi hiyo.