-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa
Aug 27, 2018 10:23Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Matamshi ya waziri wa Saudia ya kuitetea Israel yazidi kulaaniwa
Aug 23, 2018 10:35Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama na msemaji wa harakati ya Answarullah ya Yemen wamelaani vikali matamshi ya waziri wa wakfu wa utawala wa ukoo wa Aal Saud huko Saudi Arabia aliyeutetea na kuukingia kifua wazi wazi utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas: Mapambano na Israel yataendelea hadi Palestina ikombolewe kikamilifu
Aug 20, 2018 09:40Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetangaza kuwa, falsafa ya mapambano na utawala wa Kizayuni wa Israel imejengeka katika msingi wa kufikia lengo la ukombozi wa ardhi za Palestina na kuwatimua Wazayuni maghasibu kutoka ardhi takatifu za Kiislamu na Kikristo hasa mji wa Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
-
Tunisia yaizuia meli ya utawala haramu wa Israel isitie nanga katika bandari yake
Aug 17, 2018 23:44Harakati ya Kimataifa ya Kuususia Utawala Haramu wa Israel, imesema kuwa serikali ya Tunisia ilikataa kuiruhusu meli moja ya utawala huo katili kutia nanga katika bandari ya nchi hiyo.
-
Israel yakiri kwamba iliwaua kwa makusudi watoto wa Palestina katika vita vya siku 50 Gaza
Aug 13, 2018 03:18Polisi ya utawala haramu wa Israel imekiri kupitia uchunguzi uliofanyika kwamba iliwaua kwa makusudi watoto wanne wa familia moja ya Kipalestina katika vita vya siku 50 dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Utawala wa Kizayuni wakasirishwa na uamuzi wa Colombia wa kuitambua nchi ya Palestina
Aug 12, 2018 03:44Uhusiano wa kidiplomasia wa Colombia na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekumbwa na mgogoro kufuatia uamuzi wa serikali ya Colombia kuitambua rasmi Palestina kama nchi huru na yenye kujitawala.
-
Qassemi: Hakuna imani yoyote ya kufanya mazungumzo na Marekani
Aug 07, 2018 10:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuhusu matamshi ya karibuni ya rais wa Marekani kuwa yuko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwamba: kutokana na sera za Marekani za kuendesha vita vikubwa vya kisaikolojia dhidi ya Iran hakuna dhamana wala imani yoyote juu ya serikali ya Marekani wala rais wa nchi hiyo.
-
Hizbullah: Israel imepatwa na kiwewe baada ya muqawama kufika mpaka wa Golan
Aug 06, 2018 08:39Mjumbe wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikkh Nabil Qaouk ameashiria ushindi wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi wa genge la Daesh (ISIS) na kusisitiza kuwa, hivi sasa Israel imepatwa na kiwewe kufuatia mrengo wa muqawama kufika katika mpaka wa miinuko ya Golan.
-
Mwakilishi wa Kudumu wa Sweden UN: Hali ya mambo Ukanda wa Ghaza ni hatari
Jul 31, 2018 23:40Mwakilishi wa Kudumu wa Sweden katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa hali ya mambo katika eneo la Ukanda wa Ghaza ni ya hatari.
-
Malaysia yaitaka dunia kupambana na utawala wa Kizayuni
Jul 24, 2018 03:26Serikali ya Malaysia imeitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka katika kukabiliana na sheria iliyopasishwa na utawala haramu wa Kizayuni juu ya kuundwa nchi ya Kiyuhudi katika ardhi za Palestina.