-
Msemaji wa Hamas: Utawala wa Kizayuni umekiuka usitishaji vita Ukanda wa Ghaza
Jul 23, 2018 03:04Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa mashambulizi ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa ISrael katika maeneo ya wanamuqawama na yaliyowalenga raia wa Palestina katika maandamano ya Haki ya Kurejea ni ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha vita.
-
Walowezi 1000 wa Kizayuni wakishambulia tena kibla cha kwanza cha Waislamu
Jul 22, 2018 09:27Kwa mara nyingine tena walowezi zaidi ya 1000 wa Kizayuni wameuhujumu Msikiti wa al Aqsa ulioko katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Jumuiya ya Mabunge ya OIC yalaani sheria ya kibaguzi ya Bunge la Israel
Jul 21, 2018 22:57Jumuiya ya Mabunge ya nchi wanachama katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani kitendo cha kupasishwa sheria ya kibaguzi inayoitambua Israel kuwa ni dola la Wayahudi pekee.
-
Hizbullah yalaani sera mpya ya ubaguzi wa rangi ya utawala haramu wa Israel
Jul 21, 2018 02:52Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa kuhusu sheria mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel inayojulikana kama 'Nchi ya Kiyahudi' na kusema hiyo ni njama ya Kuyahudisha kikamilifu ardhi zote za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Kupitishwa sheria ya kibaguzi zaidi katika bunge la Israel
Jul 20, 2018 08:04Kupitishwa sheria inayojulikana kama 'Nchi ya Taifa la Mayahudi' na 'Knasset" bungel la utawala haramu wa Israel, kumekabiliwa na upinzani pamoja na malalamiko makubwa ya taasisi, mashirika na jumuiya za kimataifa.
-
HAMAS yatoa jibu la haraka na zito kwa mashambulizi ya Israel
Jul 14, 2018 09:22Harakati ya Muqawama wa Palestina HAMAS, imetoa jibu kali na la haraka kufuatia mashambulizi ya utawala wa Kizayuni yaliyotekelezwa na ndege za kivita za utawala huo eneo la Gaza asubuhi ya leo.
-
Al Houthi: Uislamu wa Kimarekani ni wa kinafiki
Jul 13, 2018 22:51Katibu Mkuu wa harakati ya Ansurulla nchini Yemen amesema kuwa Uislamu wa Kimarekani, Kisaudia na Kiimarati ni Uislamu wa kinafiki unaopingana na asili ya Uislamu.
-
Eran Etzion: Endapo Israel itaingia vitani na Iran, miundombinu yake yote itasambaratishwa
Jul 09, 2018 21:55Naibu Mkuu wa zamani wa Baraza la Usalama wa Taifa la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, utawala huo huna nguvu ya kuishinda Iran na kwamba, kama utaingia vitani na Iran basi utapata hasara kubwa kwani miundombinu yake itaharibiwa vibaya.
-
Jeshi la Syria lakomboa vijiji zaidi vilivyokuwa vimetekwa na magaidi wa ISIS mkoani Daraa
Jul 06, 2018 22:50Jeshi la Syria limewatimua magaidi na kukomboa kikamilifu vijiji kadhaa katika mkoa wa kusini magharibi wa Daraa karibu na mpaka wa Jordan kwa lengo la kufungua kituo cha kistratijia cha Nasib.
-
Wanajeshi wa Israel wawapiga wanawake wa Kipalesatina na kuwavua hijabu zao
Jul 05, 2018 03:22Wanajeshi wa Israel wametenda jinai nyingine baada ya kuwapiga, kuwadhalilisha na kuwavua hijabu wanawake wa Kipalestina katika kijiji cha Khan al-Ahmar mashariki mwa mji wa Quds.