-
Haaretz: Bahrain inataka kuanzisha uhusiano wa dhahiri na Israel
Jul 02, 2018 09:55Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeashiria uhusiano wa siri kati ya utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain na utawala ghasibu wa Israel na kufichua kwamba, viongozi wa Manama wanataka kuanzisha uhusiano wa dhahiri na Tel-Aviv.
-
Marekani, Israel, Saudia zinapanga njama za kuudhuri uchumi wa Iran
Jul 01, 2018 09:18Marekani, Utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia zinapanga njama za kuzuia na kusitisha mkondo wa ustawi wa uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini hazitafanikiwa.
-
Brigedia Jenerali Hatami: Israel ni tishio kwa usalama wa kimataifa
Jun 29, 2018 23:39Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia shambulio la silaha za kemikali lililofanywa miaka kadhaa iliyopita na utawala wa Saddam Hussein dhidi ya mji wa Sardashti kaskazini magharibi mwa Iran na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa usalama wa kimataifa kutokana na kumiliki kwake silaha zilizopigwa marufuku.
-
Radiamali ya makuhani wa Kiyahudi kufuatia hatua ya Israel kuwafukuza wasimamizi wa haki za binaadamu
Jun 28, 2018 09:01Muungano wa Makuhani wa Kiyahudi umesema kuwa, kuna haja kubwa ya kuwepo wawakilishi wa haki za binaadamu katika maeneo ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa ajili ya kuripoti vitendo vya ukiukaji wa haki za binaadamu vinavyofanywa katika maeneo hayo.
-
Dakta Zarif: Marekani na Israel zinabeba dhima ya kuendelea kutumiwa silaha za kemikali
Jun 28, 2018 08:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tawala mbili vamizi na zenye historia mbaya za Marekani na Israel ndizo zinazobeba dhima ya kuendelea kutumiwa silaha za kemikali katika Mashariki ya Kati.
-
Wimbi jipya la hujuma za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Jun 26, 2018 21:42Duru za habari zimeripoti kuhusu kushadidi hujuma za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa katika siku za hivi karibuni sambamba na harakati za Marekani za kutaka kutekeleza mpango wake wenye njama kubwa unaojuliakana kama "Muamala wa Karne".
-
Jeshi la Syria latungua makombora mawili ya Israel yaliyolenga uwanja wa ndege wa Damascus
Jun 26, 2018 03:02Televisheni ya Syria imetangaza leo kuwa ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimefanya hujuma ya kuushambuliwa kwa makombora Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus.
-
Gazeti la Kizayuni lafichua kikao cha Mohammad Bin Salman na Netanyahu
Jun 23, 2018 09:37Gazeti la utawala haramu wa Kizayuni la Maariv limefichua kikao cha Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel nchini Jordan.
-
Utawala wa Kizayuni kubomoa nyumba 50 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jun 23, 2018 03:24Utawala wa Kizayuni wa Israel umetishia kubomoa zaidi ya nyumba 50 za Wapalestina kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, ikiwa ni muendelezo wa sera kandamizi za Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kinyume cha sheria za kimataifa.
-
Zarif: Wakati wa kuzungumzia vichwa vya nyuklia vya utawala wa Kizayuni umewadia
Jun 18, 2018 21:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuna vichwa visivyopungua 80 vya nyuklia katika Mashariki ya Kati na hakuna hata kimoja kati ya vichwa hivyo vya nyuklia kilichoko ndani ya ardhi ya Iran.