Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Waziri wa Vita wa Israel atoa matamshi ya kijinga kumhusu Messi

    Waziri wa Vita wa Israel atoa matamshi ya kijinga kumhusu Messi

    Jun 17, 2018 02:58

    Waziri wa Vita wa Utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa matamshi ya kijinga sana kumuhusu nyota wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi baada ya timu yake kutoka sare na Iceland katika kombe la dunia nchini Russia.

  • Hizbullah: Mipango yote ya Marekani, Israel na Saudia itafeli

    Hizbullah: Mipango yote ya Marekani, Israel na Saudia itafeli

    Jun 16, 2018 21:03

    Mjumbe wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Nabil Qaouk amesema kuwa, mipango ya pamoja ya Marekani, utawala haramu wa Israel na Saudi Arabia itaishia kushindwa.

  • Israel yafichua kuwa, mkuu wa usalama wa Taifa nchini Misri amefanya safari ya siri Tel Aviv

    Israel yafichua kuwa, mkuu wa usalama wa Taifa nchini Misri amefanya safari ya siri Tel Aviv

    Jun 07, 2018 02:59

    Vyombo vya utawala haramu wa Israel vimetangaza kwamba, mkuu wa usalama wa taifa nchini Misri amefanya safari ya siri mjini Tel Aviv kwa ajili ya makubaliano yaliyo nyuma ya pazia yanayoitwa 'Muamala wa Karne' kati ya Marekani, Israel pamoja na Misri.

  • Waziri wa vita wa Israel atoa vitisho vipya kwa Wapalestina

    Waziri wa vita wa Israel atoa vitisho vipya kwa Wapalestina

    Jun 04, 2018 22:36

    Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni ametishia kuwa Israel itamalizia hasira zake kwa harakati za Hamas, Jihadul Islam na makundi yote ya muqawama ya Palestina yanayoendesha mapambano dhidi ya utawala vamizi wa Kizayuni.

  • Shamkhani: Trump ameifanya US itengwe kisiasa kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa

    Shamkhani: Trump ameifanya US itengwe kisiasa kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa

    Jun 03, 2018 10:29

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kushamiri vitendo vya ukatili vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan ni hatua ya kutapatapa inayochukuliwa baada ya kushindwa mpango na njama ya kuwatumia magaidi wa kitakfiri ili kuzusha mapigano katika Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Israel yalegeza msimamo baada ya majibu makali ya wanamapambano wa Palestina

    Israel yalegeza msimamo baada ya majibu makali ya wanamapambano wa Palestina

    May 31, 2018 10:18

    Baada ya wanamapambano wa Palestina kutoa majibu makali dhidi ya mashambulizi ya kivamizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni, hatimaye baraza la masuala ya usalama la Israel limesema kuwa, utawala huo hauna nia yoyote ya kuukalia tena kwa mabavu Ukanda wa Ghaza.

  • Kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds; kuunga mkono taifa madhulumu la Palestina na majukumu ya Kimataifa

    Kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds; kuunga mkono taifa madhulumu la Palestina na majukumu ya Kimataifa

    May 31, 2018 00:48

    "Ulimwengu wa Kiislamu leo unapaswa kuwa na nafasi ya kimsingi katika masuala muhimu na usiruhusu uzoefu mchungu wa miongo iliyopita na kuenea satwa ya madola makubwa na athari zake za muda mrefu kukaririwa."

  • Kufeli ngao ya makombora ya Israel kwamlazimu Netanyahu kuitisha kikao cha dharura

    Kufeli ngao ya makombora ya Israel kwamlazimu Netanyahu kuitisha kikao cha dharura

    May 29, 2018 03:42

    Kufuatia kushindwa ngao ya makombora ya utawala haramu wa Israel kuzuia makombora yanayovurumishwa na muqawama kwenda ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel), Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo ameitisha kikao cha dharura cha baraza lake la mawaziri kwa ajili ya kujadili suala hilo.

  • Israel yafanya tena mashambulio ya anga magharibi mwa Syria

    Israel yafanya tena mashambulio ya anga magharibi mwa Syria

    May 29, 2018 03:05

    Katika kile kinachoonekana kuwa ni kuendeleza uchokozi wake, jeshi la utawala ghasibu wa Israel kwa mara nyingine limefanya mashambulizi ya anga katika maeneo ya mkoa wa Homs magharibi mwa Syria.

  • Israel kupitisha muswada wa kuficha jinai za askari wake

    Israel kupitisha muswada wa kuficha jinai za askari wake

    May 27, 2018 09:27

    Utawala haramu wa Israel inajadili muswada wenye lengo la kuwalinda askari wake, kwa kuzuia picha na video zinazowaonyesha askari hao katili wakitenda jinai dhidi ya Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS