Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Utawala wa Israel unashirikiana na Saudia katika kuwaua watu wa Yemen

    Utawala wa Israel unashirikiana na Saudia katika kuwaua watu wa Yemen

    May 25, 2018 09:25

    Ndege za kivita za Utawala wa Kizayuni wa Israel aina ya F-35 zinashiriki katika hujuma inayoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen.

  • Tahadhari yatolewa kuhusu hatari ya kujipenyeza zaidi Wazayuni barani Afrika

    Tahadhari yatolewa kuhusu hatari ya kujipenyeza zaidi Wazayuni barani Afrika

    May 24, 2018 03:06

    Waziri wa zamani wa masuala ya kidini wa Senegal ametahadharisha kuhusu hatari ya kuzidi kujipenyeza Wazayuni barani Afrika.

  • Berri achaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge la Lebanon, ataka dunia iizuie Israel

    Berri achaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge la Lebanon, ataka dunia iizuie Israel

    May 23, 2018 09:49

    Nabih Berri amechaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge la Lebanon ambalo limekutana leo baada ya uchaguzi uliofanyika Mei 6.

  • Amoli Larijani: Marekani haiwezi kuficha jinai za utawala wa Kizayuni

    Amoli Larijani: Marekani haiwezi kuficha jinai za utawala wa Kizayuni

    May 21, 2018 23:12

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa Marekani inahusika na jinai za karibuni za utawala wa Kizayuni na kwamba maafa hayo yametendwa kufuatia baraka za Marekani kwa utawala huo.

  • Israel yapinga kuundwa kamati ya kimataifa ya kuchunguza jinai za Gaza

    Israel yapinga kuundwa kamati ya kimataifa ya kuchunguza jinai za Gaza

    May 19, 2018 21:53

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya utawala haramu wa Israel imepinga vikali uamuzi wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa wa kutaka wachunguzi wa kimataifa wa jinai za vita wapelekwe haraka Ukanda wa Gaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu kufanya uchunguzi kuhusu mauaji ya kinyama ya Wapalestina yaliyofanywa na askari wa Israel.

  • Arab League yajitutumua, yataka kufanyika uchunguzi kuhusu jinai za Mazayuni

    Arab League yajitutumua, yataka kufanyika uchunguzi kuhusu jinai za Mazayuni

    May 17, 2018 23:45

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ametaka kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana na jinai za hivi karibuni za utawala katili wa Israel dhidi ya Wapalestina katika eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Wapalestina zaidi ya 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na jeshi la Israel katika maandamano ya leo

    Wapalestina zaidi ya 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na jeshi la Israel katika maandamano ya leo

    May 14, 2018 08:50

    Wapalestina wasiopungua 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza

  • HAMAS: Kuvamiwa msikiti wa Al Aqsa na walowezi wa Kizayuni kumefanywa kwa uungaji mkono wa Marekani

    HAMAS: Kuvamiwa msikiti wa Al Aqsa na walowezi wa Kizayuni kumefanywa kwa uungaji mkono wa Marekani

    May 13, 2018 22:36

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, uvamizi uliofanywa walowezi wa Kizayuni katika msikiti wa Al Aqsa hapo jana ni namna fulani ya utoaji vitisho unaofanywa na utawala wa Kizayuni kwa uungaji mkono wa Marekani.

  • Al-Wefaq ya Bahrain: Hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kujipendekeza kwa Israel inatia aibu

    Al-Wefaq ya Bahrain: Hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kujipendekeza kwa Israel inatia aibu

    May 12, 2018 22:18

    Harakati ya Kitaifa ya Al-Wefaq ya nchini Bahrain imesema kuwa, matamshi ya Khalid bin Ahmed Al Khalifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain katika kuunga mkono utawala haramu wa Kizayuni, ni ya kufedhehesha na anatakiwa kuliomba radhi taifa sambamba na kujiuzulu.

  • Israel yakiri udhaifu wake kwamba haina uwezo wa kuingia vitani kwa sasa

    Israel yakiri udhaifu wake kwamba haina uwezo wa kuingia vitani kwa sasa

    May 11, 2018 03:19

    Waziri wa Vita wa Utawala Haramu wa Israel, amekiri kwamba utawala huo hauna maandalizi ya kukabiliana na migogoro inayotokana na vita kwa sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS