Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Ushindi wa Muqawama katika uchaguzi wa Lebanon wawatia kiwewe Wazayuni

    Ushindi wa Muqawama katika uchaguzi wa Lebanon wawatia kiwewe Wazayuni

    May 08, 2018 22:26

    Vyombo vya habari utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa ushindi wa mrengo unaoongozwa na Hizbullah katika uchaguzi wa bunge la Lebanon unatia wasiwasi mkubwa.

  • Hamas: Mapambano yataendelea hadi pale utawala wa Kizayuni utakapoangamizwa

    Hamas: Mapambano yataendelea hadi pale utawala wa Kizayuni utakapoangamizwa

    May 07, 2018 02:12

    Kiongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, mapambano dhidi ya adui Mzayuni yataendelea mpaka pale utawala wa Kizayuni wa Israel utakapoangamizwa.

  • Rouhani: Wananchi wa Iran wako pamoja dhidi ya Trump na utawala wa Kizayuni

    Rouhani: Wananchi wa Iran wako pamoja dhidi ya Trump na utawala wa Kizayuni

    May 06, 2018 03:27

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa wananchi wa Iran wako pamoja dhidi ya Rais wa Marekani na utawala wa Kizayuni na kutilia mkazo kuwa wananchi wa Iran hawapendi vita, lakini wanajilinda na kujitetea kwa dhati.

  • Mwanahistoria mashuhuri wa Kiyahudi: Marekani imewafanyia hadaa watu wa Palestina

    Mwanahistoria mashuhuri wa Kiyahudi: Marekani imewafanyia hadaa watu wa Palestina

    May 03, 2018 10:39

    Mwanahistoria mtajika wa Kiyahudi Ilan Pappé ameashiria jinsi baadhi ya Wapalestina walivyodhani kwamba Marekani ikiwa kama mpatanishi itasaidia mpango wa kuundwa nchi ya Palestina na kubainisha kuwa serikali za Marekani ikiwemo ya Barack Obama zimewafanyia hadaa watu wa Palestina.

  • Mayahudi wa Orthodox waandamana Quds (Jerusalem) na kuichoma moto bendera ya Israel

    Mayahudi wa Orthodox waandamana Quds (Jerusalem) na kuichoma moto bendera ya Israel

    May 03, 2018 09:57

    Mayahudi wa Orthodox wamefanya maandamano usiku wa kuamkia leo huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na kuchoma moto bendera za utawala huo katili.

  • Iran yaitaka Israel na waungaji mkono wake waache chokochoko zao la sivyo watajuta

    Iran yaitaka Israel na waungaji mkono wake waache chokochoko zao la sivyo watajuta

    May 01, 2018 23:17

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya utawala haramu wa Israel na waungaji mkono wake na kuwataka waache njama na miamala yao hatari kwani jibu la Iran litakuwa la kushtukiza na la kuwafanya wajute.

  • Walowezi wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Walowezi wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Apr 30, 2018 09:24

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo asubuhi Jumatatu wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.

  • Ehud Olmert: Israel haina ubavu wa kukabiliana na Iran

    Ehud Olmert: Israel haina ubavu wa kukabiliana na Iran

    Apr 30, 2018 03:25

    Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, utawala huo hauna ubavu wa kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Saeb Erekat: Hatutoshiriki katika mpango wa mapatano utakaopendekezwa na Trump

    Saeb Erekat: Hatutoshiriki katika mpango wa mapatano utakaopendekezwa na Trump

    Apr 29, 2018 22:10

    Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) ametangaza kuwa, Wapalestina hawatashiriki katika mpango wowote ule wa mapatano utakaopendekezwa na rais wa Marekani, Donald Trump.

  • Nabih Berri atahadharisha kuhusu Israel kuishambulia Lebanon

    Nabih Berri atahadharisha kuhusu Israel kuishambulia Lebanon

    Apr 29, 2018 10:39

    Spika wa Bunge la Lebanon ametahadharisha kwamba, utawala haramu wa Israel umeajiandaa kuishambulia kijeshi nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS