-
Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio uliomuuwa Fadi al Batsh
Apr 27, 2018 03:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeutaja utawala wa kizayuni wa Israel kuwa ndio uliomuua Fadi al Batsh msomi na mwanasayansi wa Kipalestina huko Malaysia.
-
Wahandisi wa Kipalestina wazalisha umeme kwa mawimbi ya bahari kukabiliana na mzingiro
Apr 23, 2018 22:46Wahandisi wanne wa Kipalestina waliohitimu katika fani ya uhandisi mitambo wanatumia mawimbi ya bahari kuzalisha nishati ya umeme kwa ajili ya eneo la Ukanda wa Gaza lililowekewa mzingiro wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Umoja wa Ulaya waitaka Israel ikomeshe unyama wake dhidi ya Wapalestina
Apr 21, 2018 23:18Umoja wa Ulaya umeutaka utawala ghasibu wa Israel ukomeshe vitendo vyake vya utumiaji mabavu dhidi ya Wapalestina.
-
Shirika la Kizayuni linawafanyia ujasusi mahujaji kwa amri ya Bin Salman wa Saudia
Apr 21, 2018 09:35Duru za habari zimefichua kwamba, shirika moja la kijasusi la utawala haramu wa Israel limekuwa likiwapeleleza mahujaji wa nyumba ya Mwenyezi Mungu nchini Saudi Arabia.
-
Amnesty yataka kufanyike uchunguzi wa mauaji ya Wapalestina
Apr 16, 2018 09:50Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kukomeshwa ukandamizaji unaofanywa na maafisa wa utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina na kuanzishwa uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na askari wa utawala huo dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina.
-
Velayati: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria yatajibiwa
Apr 11, 2018 09:13Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa jinai iliyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya kituo cha anga cha T-4 nchini Syria hayatapita hivihivi bila ya kujibiwa.
-
Gazeti la Haaretz la Kizayuni laitaja Israel kuwa ndio gaidi na sio vijana wa Palestina
Apr 09, 2018 22:19Gazeti mashuhuri la utawala haramu wa Kizayuni la Haaretz, sambamba na kukosoa siasa mbovu za Tel Abviv dhidi ya raia wa Palestina limeandika kuwa, Israel ndio gaidi na sio vijana wa Kipalestina.
-
Israel yaanza tena kujenga ukuta wa kibaguzi katika mpaka wa Lebanon
Apr 09, 2018 02:27Utawala wa Kizayuni jana Jumapili ulianza tena kujenga ukuta wake wa kibaguzi kati ya mpaka wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Lebanon.
-
Spika wa Bunge la Morocco alaani ukatili wa Israel Ukanda wa Gaza
Apr 06, 2018 00:05Spika wa Bunge la Morocco amesema kuwa vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Wapalestina wamlaani Mrithi wa Ufalme Saudia kwa kutumikia Israel
Apr 03, 2018 22:00Makundi ya kupigania ukombozi wa Wapalestina yamelaani vikali matamshi ya Mrithi wa Ufalme wa Saudia Mohammad bin Salman kufuatia hatua yake ya kutangaza kuwa anautambua utawala haramu wa Israel na kusema tamko hilo linakiuka wazi malengo matukufu ya Wapalestina.