-
Israel yatishia kwamba huwenda mwaka huu 2018 itapigana vita kali na Hizbullah ya Lebanon
Apr 02, 2018 10:37Mkuu wa Jeshi la Utawala Haramu za Israel, Gadi Eizenkot amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa utawala huo ukapigana vita vikali na angamizi kati yake na Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon.
-
Iran: Marekani ni mtuhumiwa nambari moja wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Apr 01, 2018 12:46Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Iran amelaani vikali jinai ya Wazayuni ya kuua raia wa Palestina katika maandamano ya amani yaliyofanyika Ukanda wa Gaza katika Siku ya Ardhi na kusisitiza kuwa, Marekani ndio mtuhumiwa nambari moja wa jinai hizo zilizofanywa na askari wa Israel.
-
Palestina yakaribisha maazimio ya UN dhidi ya utawala wa Kizayuni
Mar 25, 2018 23:49Msemaji wa serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Palestina amekaribisha kupasishwa katika Umoja wa Mataifa maazimio matano ya haki za binadamu dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Merkel: Kujiondoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA kutaanzisha vita
Mar 21, 2018 04:06Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amemtahadharisha Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa nchi za Ulaya zitakuwa pamoja na Iran iwapo Marekani itajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran ya JCPOA.
-
Wasi wasi wa Saudia waipelekea ikabidhi viwanja vyake vya ndege kwa Israel
Mar 19, 2018 04:23Kufuatia wasi wasi wa uwezekano wa kutoroka nchi wanawafalme wa ukoo wa Aal-Saud, utawala wa Aal- Saud umeamua kuukabidhi utawala haramu wa Israel usimamizi wa viwanja vyake vya ndege.
-
Olmert: Tulishindwa na Hizbullah katika vita; ufisadi wa Netanyahu hautasawariki
Mar 17, 2018 00:51Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba jeshi la utawala huo dhalimu lilishindwa na Hizbullah ya Lebanon katika vita vya mwaka 2006.
-
Magaidi wa Daesh wanatumia kadi za simu za Israel nchini Misri
Mar 14, 2018 04:30Mtandao mmoja wa Intaneti wa Israel umesema kuwa, magaidi wa genge la wakufurishaji la Daesh walioko katika jangwa la Sinai la kaskazini mwa Misri, wanatumia kadi za simu za mashirika ya Kizayuni kufanya operesheni zao ndani ya ardhi ya Misri.
-
Wanachuo 340 wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza ya Israel
Mar 12, 2018 04:21Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Palestina ametangaza kuuwa, kwa sasa wanachuo 340 wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza mbalimbali ya utawala haramu wa Israel.
-
Mjumbe wa PLO: Iran ndio watetezi pekee wa Palestina la Lebanon mbele ya Israel
Mar 06, 2018 13:44Abbas Zaki, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema kuwa, Iran ndio nchi pekee inaowatetea raia wa Palestina na Lebanon mbele ya sera za kupenda kujitanua na mabavu ya utawala haramu wa Israel.
-
Wananchi Saudia wakasirishwa na uhusiano wa wazi wa nchi yao na Israel
Mar 05, 2018 00:32Gazeti la al Quds al Arabi limeripoti kuwa, kitendo cha gazeti la mtandaoni la Sabq la nchini Saudi Arabia cha kufanya mahojiano na kuhani mmoja Mzayuni kimewakasirisha mno wananchi wa nchi hiyo ambao wamedhihirisha hasira kubwa katika kurasa za Intaneti na mitandao ya kijamii.