-
Taasisi ya Palestina: Siku ya mateka wa Palestina; nembo ya mapambano yao katika jela za Israel
Apr 18, 2025 02:40Ofisi ya Habari ya serikali katika Ukanda wa Gaza imetaja tarehe 17 Aprili liyoadhimishwa jana Alhamisi ambayo imepewa jina la Siku ya Mateka wa Palestina kuwa ni inakumbusha mateso, maumivu na masaibu wanayopitia zaidi ya mateka elfu kumi wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Kizayuni.
-
Serikali ya Al-Jolani Syria kuanzisha uhusiano rasmi na Israel mwishoni mwa 2026
Apr 16, 2025 11:32Mwanadiplomasia mmoja wa Uingereza amefichua kuwa kiongozi wa kundi la wanamgambo la Hay-at Tahrir al-Sham HTS Abu Mohammed al-Jolani ameihakikishia Uingereza kwamba Syria "itaanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia" na utawala wa Kizayuni wa Israel, itautambua utawala huo, na kubadilishana nao mabalozi ifikapo mwisho wa mwaka ujao wa 2026.
-
UAE imeweka mtambo wa rada wa Israel Puntland kwa ajili ya kutungua makombora ya Yemen
Apr 16, 2025 11:31Duru za habari zimeripoti kuwa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati imeweka mtambo wa rada wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Puntland, Somalia ili kuyanasa na kuyatungua makombora yanayorushwa na Yemen.
-
Wazayuni waendeleza mashambulizi Ukingo wa Magharibi, wamjeruhi mtoto Mpalestina
Apr 16, 2025 07:47Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza mashambulizi na hujuma zao za mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi na kumjeruhi kwa risasi mtoto wa kike wa Kipalestina.
-
UN: Kati ya Wasudan 3 mmoja ni mkimbizi na kati ya wakimbizi 6 duniani, mmoja ni Msudan
Apr 16, 2025 02:22Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, Kanda ya Afrika Mashariki, Pembe ya Afrika na Maziwa Makuu, Mamadou Dian Balde amesema, mmoja kati ya Wasudan watatu kwa sasa ni wakimbizi, na mmoja kati ya watu sita waliopoteza makazi yao duniani anatoka Sudan.
-
Jinai za kinyama za Israel Ghaza hazina udhibiti, Wapalestina wengine 37 wauawa shahidi
Apr 14, 2025 06:12Mashambulio makubwa na ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo mbalimbali ya Ghaza yamewaua shahidi Wapalestina wengine wasiopungua 37.
-
Maariv: Hamas bado inadhibiti Ukanda wa Gaza
Apr 10, 2025 11:39Vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kuwa, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kuanza vita na mshambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukanda wa Gaza, harakati ya Hamas bado inadhibiti eneo hilo na utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake.
-
Luteni Jenerali Werede atangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray, Ethiopia
Apr 09, 2025 06:36Luteni Jenerali Tadesse Werede ametangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray kuchukua nafasi ya Getachew Reda.
-
Kofi la Afrika kwa Uzayuni; Mwakilishi wa Israel afukuzwa makao makuu ya AU
Apr 09, 2025 03:06Jumatatu wiki hii balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, alifukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa.
-
Mwangwi wa hasira za wananchi wa Morocco dhidi ya jinai za Israel
Apr 08, 2025 11:55Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano huko Rabat, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza na kutaka kufutwa makubaliano ya kuwa na uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni.