Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Gazeti la Kiebrania: Utawala wa Kizayuni umepata hasara nyingi katika vita na Hizbullah

    Gazeti la Kiebrania: Utawala wa Kizayuni umepata hasara nyingi katika vita na Hizbullah

    Nov 28, 2024 00:00

    Kufuatia kutangazwa usitishaji vita kusini mwa Lebanon, vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa vita hivyo vimeutia hasara nyingi na kuusababishia uharibifu mkubwa utawala huo wa Kizayuni.

  • 61% ya Wazayuni: Netanyahu amegonga mwamba, Israel haijashinda vita dhidi ya Hizbullah

    61% ya Wazayuni: Netanyahu amegonga mwamba, Israel haijashinda vita dhidi ya Hizbullah

    Nov 27, 2024 09:11

    Kwa mujibu wa uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel ndani ya jamii ya Wazayuni, asilimia 61 miongoni mwao wanaamini kuwa utawala huo haujapata ushindi katika vita dhidi ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Licha ya kutolewa waranti wa kumkamata, Gallant apanga safari ya kutembelea Marekani

    Licha ya kutolewa waranti wa kumkamata, Gallant apanga safari ya kutembelea Marekani

    Nov 26, 2024 03:12

    Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Yoav Gallant anapanga kusafiri kuelekea Marekani licha ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutoa hati ya kumkamata kwa kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Ghaza.

  • Wanajeshi wa Kizayuni washambulia maeneo mbalimbali katika Ukingo wa Magharibi

    Wanajeshi wa Kizayuni washambulia maeneo mbalimbali katika Ukingo wa Magharibi

    Nov 25, 2024 10:06

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine tena wameshambulia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Wapalestina kadhaa wameuawa shahidi na wengine kujeruhiwa katika hujuma hiyo ya Wazayuni.

  • Kukata tamaa kwa utawala wa Kizayuni dhidi ya makundi ya muqawama

    Kukata tamaa kwa utawala wa Kizayuni dhidi ya makundi ya muqawama

    Nov 25, 2024 01:08

    Licha ya uungaji mkono wa pande zote wa Ikulu ya White House kwa Tel Aviv, utawala wa Kizayuni hauna uwezo wa kukabiliana na makundi ya muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon katika vita hivyo.

  • Jeshi la Israel linaendelea kuteketeza roho za watu wasio na hatia Ghaza na Lebanon

    Jeshi la Israel linaendelea kuteketeza roho za watu wasio na hatia Ghaza na Lebanon

    Nov 24, 2024 07:59

    Katika siku ya 416 ya vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni unaendeleza mashambulizi ya kinyama na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo na vilevile wananchi wa maeneo mbalimbali ya Lebanon.

  • Maandamano ya watetezi wa Palestina yaendelea ulimwenguni

    Maandamano ya watetezi wa Palestina yaendelea ulimwenguni

    Nov 23, 2024 22:59

    Wafuasi wa wananchi na wanachuo wa Palestina katika baadhi ya nchi wametoa wito wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza na Lebanon kwa mikusanyiko na maandamano.

  • Seneta wa Marekani aunga mkono hati ya ICC inayoamuru kukamatwa Netanyahu na Gallant

    Seneta wa Marekani aunga mkono hati ya ICC inayoamuru kukamatwa Netanyahu na Gallant

    Nov 22, 2024 04:10

    Seneta wa Marekani Bernie Sanders ameunga mkono uamuzi uliotoloewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC jana Alkhamisi wa kuamuru kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa vita wa utawala huo haramu Yoav Gallant.

  • Watu wasiopungua 36 wauawa shahidi katika hujuma ya anga ya Israel katika mji wa Palmyra, Syria

    Watu wasiopungua 36 wauawa shahidi katika hujuma ya anga ya Israel katika mji wa Palmyra, Syria

    Nov 21, 2024 04:14

    Takriban watu 36 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni katika mji wa kihistoria na kitamaduni wa Palmyra nchini Syria.

  • ٌWanajeshi 110 wa Israel wameangamizwa tangu Tel Aviv ianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon

    ٌWanajeshi 110 wa Israel wameangamizwa tangu Tel Aviv ianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon

    Nov 21, 2024 00:18

    Idara yha Oparesheni ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon imetangaza kuwa, hadi sasa wanajeshi 110 wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa na wengine 1,050 kujeruhiwa tangu jeshi la Iutawala huol lilianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon, Oktoba Mosi mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS