-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Gaza imekuwa kaburi la watoto
Nov 20, 2024 04:38Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel.
-
UNRWA: Hakuna taasisi yoyote inayoweza kujaza nafasi yetu Ghaza
Nov 19, 2024 07:40Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa, hakuna taasisi yoyote inayoweza kujaza nafasi ya shirika hilo katika kuwahudumia na kuwafikishia misaada wakazi wa Ghaza.
-
Wanajeshi 30 wa Kizayuni waangamizwa kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
Nov 18, 2024 23:14Kwa akali wanajeshi 30 wa utawala haramu wa Israel wameangamizwa na wanamuqawama kaskazini mwa Ukanda wa Gaza katika majuma ya hivi karibuni.
-
Yemen yatoa taarifa kuhusu mashambulizi iliyofanya dhidi ya ngome za utawala wa Kizayuni
Nov 18, 2024 03:45Jeshi la Yemen limetoa taarifa kuhusu mashambulizi liliyofanya dhidi ya baadhi ya maeneo nyeti na muhimu sana ya kijeshi ya adui Mzayuni katika maeneo ya Jaffa na Ashkelon huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu iliyopachikwa jina bandia la Israel.
-
Mamilioni ya Wasenegal wameelekea vituo vya kupigia kura kuchagua Bunge jipya
Nov 17, 2024 08:43Wasenegal leo wamepiga kura katika uchaguzi wa Bunge ambao utaamua kama rais mpya wa nchi hiyo Bassirou Diomaye Faye ataweza kufanya mageuzi makubwa aliyokusudia au la.
-
Hizbullah yashambulia maeneo ya kistratijia ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 16, 2024 22:57Kituo cha Taarifa za Vita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa wapiganaji wa harakati hiyo wamefanya mashambulizi ya makombora katika maeneo kadhaa ya kistratijia ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Qatar yaonya kuhusu kupigwa marufuku UNRWA
Nov 16, 2024 09:55Serikali ya Qatar imeonya kuhusiana na hatua ya kupigwa marukufu shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) na kusisitiza udharura wa kuheshimiwa haki za Wapalestina.
-
HAMAS yaendelea kuangamiza wanajeshi wa Israel kaskazini mwa Ghaza
Nov 16, 2024 03:58Brigedi za Izzuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kuwa zimeangamiza maafisa wengine watatu wa jeshi la utawala wa Kizayuni na zana zao za kijeshi kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Hizbulla yaendelea kutoa vipigo dhidi ya Wazayuni
Nov 16, 2024 03:55Kitengo cha habari za kivita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu imeendelea kutoa vipigo na kuyatwanga kwa makombora na droni maeneo mbalimbali ya kijeshi ya Israel.
-
Kiongozi mmoja wa HAMAS auawa katika jela za Israel
Nov 15, 2024 23:25Mmmoja wa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Samih Aliwi, aliuawa shahidi jana Ijumaa, Novemba 15, 2024 ikiwa ni siku sita baada ya kuhamishwa kutoka gereza la Ramla na kupelekwa katika hospitali ya Assaf Harofeh. Taarifa nyingine zinasema aliuawa shahidi tangu siku sita nyuma lakini utawala wa Kizayuni ulikuwa unaficha kifo chake.