Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Maafa ya mazingira yaikumba Lebanon kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel

    Maafa ya mazingira yaikumba Lebanon kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel

    Nov 08, 2024 04:01

    Kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kumeitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro wa kimazingira na kiafya.

  • Mashabiki wa Kizayuni wachezea kipigo baada ya kuivunjia heshima bendera ya Palestina

    Mashabiki wa Kizayuni wachezea kipigo baada ya kuivunjia heshima bendera ya Palestina

    Nov 08, 2024 04:01

    Mashabiki wa mpira wa Kizayuni waliokuwa wakitizama mechi ya soka katika mji wa Amsterdam nchini Uholanzi wameshambuliwa na kuchezea kipigo baada ya kuivunjia heshima bendera ya Palestina.

  • Matokeo ya kufutwa kazi Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni

    Matokeo ya kufutwa kazi Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni

    Nov 07, 2024 05:10

    Hatua ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, ya kumfuta kazi Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala huo imezidisha hali ya mgogoro huko Tel Aviv.

  • Waisraeli waendelea kupinga hatua ya Netanyahu ya kumtimua Gallant

    Waisraeli waendelea kupinga hatua ya Netanyahu ya kumtimua Gallant

    Nov 06, 2024 23:00

    Miji mbalimbali ya Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) hususan Tel Aviv iimeendelea kushuhudia maandamano makubwa ya kupinga hatua ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ya kumfuta kazi Waziri wa Vita wa utawala huo, Yoav Gallant.

  • Kushadidi mgogoro wa Gaza kufuatia kusimamishwa shughuli za UNRWA

    Kushadidi mgogoro wa Gaza kufuatia kusimamishwa shughuli za UNRWA

    Nov 06, 2024 22:57

    Kutokana na tangazo la kusitishwa shughuli za UNRWA, taasisi za kimataifa zimeonya kuhusu uwezekano wa kuzorota zaidi hali ya maisha ya Wapalestina hususan watoto, wanawake na wagonjwa huko Ukanda wa Gaza.

  • Hizbullah yawatwanga kwa makombora wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hizbullah yawatwanga kwa makombora wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Nov 05, 2024 23:01

    Wanamuqawama wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon wamevurumisha makombora katika kambi za kijeshi mahali walipokuwa wamekusanyika wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mali yaungana na makumi ya nchi za Afrika kujinaisha vitendo vya ufuska vya 'ushoga'

    Mali yaungana na makumi ya nchi za Afrika kujinaisha vitendo vya ufuska vya 'ushoga'

    Nov 05, 2024 09:15

    Bunge la Mpito la Mali limepitisha sheria inayojinaisha vitendo vya ufuska vya 'ushoga' na kujiunga na makumi ya nchi zingine za Kiafrika zilizopitisha sheria ya kupiga marufuku vitendo hivyo vinavyotetewa na Ulimwengu wa Magharibi kwa kisingizio cha haki za binadamu.

  • Iran yasisitiza kuwa bila shaka itajibu uchokozi wa Israel

    Iran yasisitiza kuwa bila shaka itajibu uchokozi wa Israel

    Nov 04, 2024 23:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baghaei amesema bila ya shaka utawala wa Kizayuni wa Israel utapokea jibu kali kutokana na uchokozi wake wa hivi karibuni dhidi Iran.

  • Utawala wa Kizayuni  wazuia kutolewa misaada kwa waliojeruhiwa kaskazini mwa Gaza

    Utawala wa Kizayuni wazuia kutolewa misaada kwa waliojeruhiwa kaskazini mwa Gaza

    Nov 04, 2024 08:48

    Shirika la Ulinzi wa Raia wa Ukanda wa Gaza limetangaza hatua ya utawala katili wa Kizayuni ya kuzuia juhudi za kuwasaidia Wapalestina waliojeruhiwa kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Kiongozi Muadhamu akutana na familia za mashahidi wa uovu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

    Kiongozi Muadhamu akutana na familia za mashahidi wa uovu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

    Nov 03, 2024 09:30

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amekutana na familia za mashahidi wa Jeshi la Ulinzi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran waliouawa shahidi katika uovu wa hivi karibuni wa utawala wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS