-
Umoja wa Afrika: Jamii ya kimataifa haipaswi kufumbia macho jinai za Israel dhidi ya Palestina
Feb 17, 2024 23:31Mwenyekiti wa mzunguko wa Umoja wa Afrika (AU) ameitaka jamii ya kimataifa kutofumbia macho dhulma, mauaji na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Kiongozi wa HAMAS: Israel inabeba dhima ya kukwama mazungumzo ya kusitisha vita
Feb 17, 2024 23:30Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unawajibika kwa kushindwa kupiga hatua mazungumzo na kufikia makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS yaendelea kuwatwanga kwa maroketi wanajeshi vamizi wa Israel
Feb 16, 2024 23:18Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeendelea kuwatwanga kwa maroketi wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kujibu jinai zinazofanywa na Wazayuni hao makatili dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.
-
Askari katili wa Israel wamuua baba na mama Wapalestina mbele ya watoto wao wadogo
Feb 15, 2024 23:55Katika muendelezo wa mauaji ya kimbari dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Ghazza, askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua kwa kuwapiga risasi wazazi wa watoto kadhaa wa Kipalestina mbele ya macho yao.
-
Umoja wa Mataifa: Idadi ya raia waliouawa huko Gaza haijawahi kushuhudiwa
Feb 15, 2024 23:13Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.
-
Mashambulizi makubwa ya makombora kutoka Lebanon yazilenga ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel)
Feb 14, 2024 23:01Duru za habari zimetangaza kuwa mashambulizi makubwa ya makombora kutoka upande wa kusini mwa Lebanon yalifanyika katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za palestina jana Jumatano.
-
Ombi la Afrika Kusini kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki kuhusu jinai za Israel katika mji wa Rafah, Gaza
Feb 14, 2024 10:28Serikali ya Afrika Kusini imesema imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuzingatia iwapo uamuzi wa utawala wa Israel kupanua operesheni za kijeshi Gaza hadi mji wa huko Rafah utahitaji mahakama hiyo kutumia mamlaka yake kuzuia ukiukwaji zaidi wa haki za Wapalestina.
-
Kuongezeka ukosoaji wa Magharibi dhidi ya himaya ya Marekani kwa Israel katika vita vya Gaza
Feb 13, 2024 23:06Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell, Jumatatu iliyopita aliitaka Marekani kuacha kutoa silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na kiwango kikubwa cha mauaji ya raia katika vita vya Gaza.
-
Iran: Kupanua jinai za vita dhidi ya Wapalestina wa Rafah kutakuwa na madhara makubwa kwa utawala wa Kizayuni
Feb 13, 2024 04:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa onyo kali kwa mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuuvamia mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza na kusema kuwa utakuwa na madhara makubwa kwa utawala huo.
-
Ujumbe wa Bunge la Ufaransa: Israel inataka kuwaangamiza wakazi wote wa Gaza
Feb 09, 2024 04:16Ujumbe wa Bunge la Ufaransa umetangaza kuwa, Israel sio tu kwamba inataka kuiangamiza Hamas, bali pia kuwaangamiza wakazi wote wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.