Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Maoni: Wamarekani wanaamini Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza

    Maoni: Wamarekani wanaamini Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza

    Feb 08, 2024 23:03

    Nusu ya Wamarekani wanaamini kuwa, kumefanyika mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.

  • Duru za Wazayuni: Nasrullah ndiye kiongozi shupavu zaidi wa Ulimwengu wa Kiarabu

    Duru za Wazayuni: Nasrullah ndiye kiongozi shupavu zaidi wa Ulimwengu wa Kiarabu

    Feb 06, 2024 04:43

    Wazayuni wanakiri kwamba, Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah, ni kiongozi shupavu na mwenye nguvu zaidi katika Ulimwengu wa Kiarabu na Magharibi mwa Asia.

  • Mashambulizi makubwa dhidi ya Iraq na Syria; Chokochoko mpya za Marekani eneo la Asia Magharibi

    Mashambulizi makubwa dhidi ya Iraq na Syria; Chokochoko mpya za Marekani eneo la Asia Magharibi

    Feb 03, 2024 23:07

    Marekani ambayo kwa miaka kadhaa sasa imevuruga amani ya eneo la Magharibi mwa Asia kutokana na uwepo wake wa kijeshi katika eneo hilo ili kufanikisha malengo yake na ya washirika wake, imekuwa ikiyumbisha usalama wa eneo hilo nyeti na muhimu kwa kufanya mashambulizi na uvamizi wa mara kwa mara.

  • UN: Watu wa Gaza wanapambana kila siku ili kuishi

    UN: Watu wa Gaza wanapambana kila siku ili kuishi

    Feb 01, 2024 23:10

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa wakazi wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza kila siku wanapambana ili kuweza kuishi.

  • Wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa hadi hivi sasa Ghaza

    Wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa hadi hivi sasa Ghaza

    Feb 01, 2024 03:44

    Jeshi la utawala wa Kizayuni ambalo ni maarufu kwa kuchuja mno habari limesema katika taarifa yake ya jana kwamba, hadi hivi sasa wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa tangu vilipoanza vita vya Ghaza, tarehe 7 Oktoba, 2023.

  • HAMAS: Jeshi la Israel linaendelea kufanya jinai kwenye hospitali za Gaza

    HAMAS: Jeshi la Israel linaendelea kufanya jinai kwenye hospitali za Gaza

    Jan 31, 2024 23:30

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wanaendelea kufanya jinai katika hospitali na vituo vya matibabu huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Kupanuka mpasuko ndani ya serikali ya Israel; Netanyahu kwenye ncha ya wembe

    Kupanuka mpasuko ndani ya serikali ya Israel; Netanyahu kwenye ncha ya wembe

    Jan 31, 2024 08:42

    Moja ya sababu za kushindwa Israel kufikia malengo yaliyokusudiwa katika vita vya Gaza ni kupanuka hitilafu katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • UN: 'Hakuna mbadala' wa kazi ya UNRWA ya kuokoa maisha ya Wapalestina Gaza

    UN: 'Hakuna mbadala' wa kazi ya UNRWA ya kuokoa maisha ya Wapalestina Gaza

    Jan 31, 2024 03:35

    Mratibu Mwandamizi wa Masuala ya Kibinadamu na Ujenzi mpya wa Gaza Sigrid Kaag amesema, hakuna shirika linaloweza kuchukua nafasi ya shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, katika Ukanda wa Gaza ulioharibiwa na vita.

  • Sababu za Israel kupenda vita vienee eneo zima la Asia Magharibi

    Sababu za Israel kupenda vita vienee eneo zima la Asia Magharibi

    Jan 29, 2024 23:14

    Duru mbalimbali za habari zimeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya njama za kila namna za kutaka vita vienee kwenye eneo zima la Asia Magharibi.

  • Wayemeni waunga mkono mashambulizi dhidi ya meli zinazoelekea Israel

    Wayemeni waunga mkono mashambulizi dhidi ya meli zinazoelekea Israel

    Jan 28, 2024 04:14

    Kwa mara nyingine tena mamilioni ya wananchi wa Yemen wamefanya maandamano makubwa na kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Ukanda wa Gaza na vilevile hatua za kijeshi dhidi ya meli inazoelekea ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS