Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kan'ani: Msingi wa Israel umejengwa kwa kutegemea mabavu na ubaguzi

    Kan'ani: Msingi wa Israel umejengwa kwa kutegemea mabavu na ubaguzi

    Jan 27, 2024 08:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa jibu la kiuhasama lililotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel mkabala wa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) linaonyesha namna msingi wa utawala huo ulivyojengwa kwa kutegemea vitendo vya mabavu na ubaguzi; na wakati huo huo unadhihirisha namna utawala huo usivyoheshimu kanuni na sheria za kimataifa.

  • Hukumu ya Mahakama ya The Hague; Nukta muhimu katika kutafuta haki kwa ajili ya watu wa Palestina

    Hukumu ya Mahakama ya The Hague; Nukta muhimu katika kutafuta haki kwa ajili ya watu wa Palestina

    Jan 27, 2024 08:40

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ, yenye makao yake huko The Hague Uholanzi imetoa hukumu yake ya awali kwa shauri la mashtaka lililowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mauaji ya kimbari ya utawala huo huko Ukanda wa Gaza.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Utawala haramu wa Israel umeshindwa kufikia malengo yake Gaza

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Utawala haramu wa Israel umeshindwa kufikia malengo yake Gaza

    Jan 26, 2024 08:41

    Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: Utawala wa Kizayuni umeshindwa katika Ukanda wa Gaza na kwamba, haujafikia lengo lolote kati ya malengo yake.

  • Iran yasisitiza kuwa utawala wa Kizayuni lazima usitishe mauaji ya kimbari Gaza

    Iran yasisitiza kuwa utawala wa Kizayuni lazima usitishe mauaji ya kimbari Gaza

    Jan 26, 2024 04:32

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameisitiza juu ya kusitishwa mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Hatua mpya za kivita na kichokozi za nchi zaMagharibi katika eneo la Asia Magharibi

    Hatua mpya za kivita na kichokozi za nchi zaMagharibi katika eneo la Asia Magharibi

    Jan 24, 2024 23:25

    Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni wa Israel, ili kudumisha usalama, maslahi ya kiuchumi na kibiashara ya utawala huo katika Bahari Nyekundu, katikati ya mwezi wa Disemba mwaka jana, ilitangaza kuundwa muungano wa baharini lakini muungano huo haukuungwa mkono na nchi za Ulaya isipokuwa Uingereza.

  • Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kukatwa mishipa ya uhai ya utawala wa Kizayuni

    Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kukatwa mishipa ya uhai ya utawala wa Kizayuni

    Jan 23, 2024 10:01

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Nchi za Kiislamu zinapaswa kukata uhusiano wao wa kisiasa na kiuchumi na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kukata mishipa muhimu ya uhai ya utawala huo ghasibu.

  • Kuongezeka uungaji mkono wa kimataifa kwa mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Kuongezeka uungaji mkono wa kimataifa kwa mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Jan 23, 2024 05:01

    Afrika Kusini ikiwa moja ya nchi wanachama wa Mkataba wa Kuzuia na Kuadhibu Uhalifu wa Mauaji ya Kimbari, iliwasilisha shauri la mashtaka dhidi ya Israel kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki mnamo Desemba 29, 2023.

  • Kupungua pakubwa uungaji mkono kwa utawala wa Kizayuni duniani

    Kupungua pakubwa uungaji mkono kwa utawala wa Kizayuni duniani

    Jan 22, 2024 22:42

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na Taasisi ya Morning Consult yanaonyesha kuwa uungaji mkono wa kimataifa kwa utawala wa Kizayuni umepungua sana kufuatia vita vilivyoanzishwa na utawala huo haramu dhidi ya wakazi wa Palestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Wazayuni washangazwa na uwezo mkubwa wa HAMAS wa kuzalisha silaha

    Wazayuni washangazwa na uwezo mkubwa wa HAMAS wa kuzalisha silaha

    Jan 21, 2024 23:29

    Utawala wa Kizayuni umelazimika kukiri kuwa umeshangazwa sana na jinsi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ilivyo na uwezo mkubwa wa kuzalisha silaha ndani ya Ukanda wa Ghaza ambao umezingiwa kila upande kwa miaka mingi.

  • Amir-Abdollahian: Harakati za washauri wa kijeshi wa Iran za kupambana na ugaidi zitaendelea kwa nguvu kamili

    Amir-Abdollahian: Harakati za washauri wa kijeshi wa Iran za kupambana na ugaidi zitaendelea kwa nguvu kamili

    Jan 21, 2024 07:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mjibizo kufuatia kuuawa shahidi washauri watano wa Iran nchini Syria katika shambulio la kigaidi la utawala wa Kizayuni na kueleza kwamba: "kushindwa Wazayuni kukabiliana na irada na matakwa ya watu wa Gaza hakutaweza kufidiwa kwa vitendo hivi vya kigaidi."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS