Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kan'ani: Kuna uhusiano mkubwa kati ya utawala gaidi wa Israel na Daesh

    Kan'ani: Kuna uhusiano mkubwa kati ya utawala gaidi wa Israel na Daesh

    Jan 21, 2024 04:22

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali jinai na uchokozi uliofanywa mapema jana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la raia huko al Mezza, Damascus mji mkuu wa Syria na kuuwa shahidi washauri watano wa kijeshi wa Iran na askari kadhaa wa Syria.

  • Washauri 5 wa  Iran wauawa shahidi katika shambulio la kigaidi la Israel huko Damascus

    Washauri 5 wa Iran wauawa shahidi katika shambulio la kigaidi la Israel huko Damascus

    Jan 20, 2024 23:13

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetangaza kuwa washauri wake watano wa kijeshi wameuawa katika shambulizi la kigaidi la Israel katika mji mkuu wa Syria.

  • Jeshi la Israel lateketeza jengo la chuo kikuu cha Palestina lenye athari za kihistoria za miaka 3,000

    Jeshi la Israel lateketeza jengo la chuo kikuu cha Palestina lenye athari za kihistoria za miaka 3,000

    Jan 20, 2024 03:22

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limelitekeza jengo la Chuo Kikuu cha Al-Israa cha Palestina katika Ukanda wa Gaza chenye athari za kale za kihistoria za tangu miaka elfu tatu iliyopita.

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Operesheni ya IRGC lilikuwa onyo dhidi ya Wazayuni

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Operesheni ya IRGC lilikuwa onyo dhidi ya Wazayuni

    Jan 19, 2024 10:28

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema shambulio la makombora la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) dhidi ya kituo kikuu cha ujasusi cha shirika la ujasusi la utawala haramu wa Israel (Mossad) katika eneo la Kurdistan ya Iraq limetoa onyo kali mkabala wa tishio la Wazayuni.

  • Wanajeshii watano wa Israel waangamizwa na muqawama Khan Yunis

    Wanajeshii watano wa Israel waangamizwa na muqawama Khan Yunis

    Jan 19, 2024 00:01

    Wanajeshi watano wa utawala vamizi wa Israel wameuawa na wengine kadhaa kuujeruhiwa katika mapigano baina yao na wanamuqawama wa Palestiona katika mji wa Khan Yunis huko Palestina.

  • Indhari ya Uhispania kuhusu matukio ya eneo na ya kimataifa ya vita vya Gaza

    Indhari ya Uhispania kuhusu matukio ya eneo na ya kimataifa ya vita vya Gaza

    Jan 18, 2024 23:57

    Pedro Sánchez, Waziri Mkuu wa Uhispania ameonya kuwa, usalama na uthabiti wa eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) umekuwa hatarini na kwamba, mashambulizi haya yanahatarisha nidhamu na uratibu wa ushirikiano wa pande kadhaa.

  • Sababu za vita vya Gaza kuendelea kwa muda mrefu

    Sababu za vita vya Gaza kuendelea kwa muda mrefu

    Jan 17, 2024 01:03

    Licha ya kupita siku 100 tangu vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza vianze, lakini bado hakuna matarajio ya kumalizika kwa vita hivyo.

  • Kuongezeka hitilafu katika serikali ya Biden kuhusiana na vita vya Gaza

    Kuongezeka hitilafu katika serikali ya Biden kuhusiana na vita vya Gaza

    Jan 15, 2024 23:15

    Sambamba na uendelea vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu madhulumu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina, kuzidi kuzorota hali ya mambo katika eneo la Magharibi mwa Asia na himaya ya wazi na ya siri ya Marekani kwa utawala huo ghasibu, ushahidi uliopo unaonyesha kuwa hali inazidi kuwa ngumu kwa Marekani siku baada ya siku kutokana na kuendelea kuunga mkono jinai za Israel, hasa mauaji ya halaiki ya Wapalestina.

  • Msemaji wa jeshi la Israel akiri, makombora ya Hizbullah yameuathiri utawala huo

    Msemaji wa jeshi la Israel akiri, makombora ya Hizbullah yameuathiri utawala huo

    Jan 15, 2024 10:44

    Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa mashambulizi ya makombora ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon huko kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) yamekwua na ufanisi na kulenga shabaha.

  • Wapalestina 10 wauawa shahidi Gaza, idadi ya vifo yafikia 23,708, majeruhi wapindukia 60,000

    Wapalestina 10 wauawa shahidi Gaza, idadi ya vifo yafikia 23,708, majeruhi wapindukia 60,000

    Jan 13, 2024 03:37

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu eneo la karibu na makazi ya wakimbizi wa Kipalestina mashariki mwa kivuko cha Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 10 wakiwemo watoto kadhaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS